WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

Matthias Hues.
Huyu jamaa ni mzaliwa wa German, ana urefu wa 6.5' na ni mtaalamu wa Martial Art, lakini Kitaaluma amesomea Hotel Management.

 
nakumbuka enzi hizo kuangalia pilau kwenye vibanda umiza ilikua n kuanzia saa mbl usiku,mwenyekiti wa kijiji ndio alikua anasimama mlangoni akikagua ndevu kama huna hauingii

Aisee balaa,nakumbuka mchana unakuta bango limeandikwa "leo usiku pilau mchele toka brazil"basi ujue picha actors ni brazillians,kuna siku defenda za polisi zilifanya ambush kila mtu alipenya fensi ya makuti ya banda la video aka kideo.Nje mnashangaana aaah kumbe na wewe ulikuwepo kwenye pilau maana sharti taa inazimwa bandani.
 
Hiyo kulima eka kwa plau unadanganya mzee. Acha fiksii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…