WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

WAKATI UKUTA! Wacheza filamu za Kibabe wa zamani walivyo hivi sasa

Matthias Hues.
Huyu jamaa ni mzaliwa wa German, ana urefu wa 6.5' na ni mtaalamu wa Martial Art, lakini Kitaaluma amesomea Hotel Management.


 
Mleta uzi tufanyie ihsani ya watu hawa Billy blanks chuck norris na stevin seagul picha zao za sasa.
Steven Seagal.



His latest movie, 2015.
 

Attachments

  • glzccumok0xhkx.jpg
    glzccumok0xhkx.jpg
    1.7 KB · Views: 78
  • hc5bjuqusnp3nj3q.jpg
    hc5bjuqusnp3nj3q.jpg
    2.1 KB · Views: 73
nakumbuka enzi hizo kuangalia pilau kwenye vibanda umiza ilikua n kuanzia saa mbl usiku,mwenyekiti wa kijiji ndio alikua anasimama mlangoni akikagua ndevu kama huna hauingii

Aisee balaa,nakumbuka mchana unakuta bango limeandikwa "leo usiku pilau mchele toka brazil"basi ujue picha actors ni brazillians,kuna siku defenda za polisi zilifanya ambush kila mtu alipenya fensi ya makuti ya banda la video aka kideo.Nje mnashangaana aaah kumbe na wewe ulikuwepo kwenye pilau maana sharti taa inazimwa bandani.
 
Hii imenikumbusha kuna jamaa mmoja kule kijijini alikuwa na maguvu kweli kweli.....

Alikuwa anapiga kiki ya piki piki kwa mkono wake mmoja....

Alikuwa akibeba gunia mbili za mahindi kwa pamoja kwa mtindo wa x......

Alikuwa na uwezo wa kumkamata ng'ombe na kumchinja peke yake....

Alikwa na uwezo wa kusukuma plau ya kulimia pekee yake na kulima heka nzima ya shamba.....
Kwa kifupi jamaa alikuwa na nguvu za ajabu.....

Lakini juzi nilivyoende kuwasalimia jamaa.....nimemkuta hawezi hata kunyanyua ndoo ndogo ya lita kumi...iliyojaa mahindi....

Ama kwa hakika kila kitu kina wakati wake.....
Hiyo kulima eka kwa plau unadanganya mzee. Acha fiksii
 
Back
Top Bottom