Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Frank Zagarino.
Fallout, (1999).
Dada umekalia kitu chenye ncha kali au?We jamaa umeniua yeuwiiiiiiiiiiiie mbavu zangu jaman auwiiiiiiiiiiie
Steven Seagal.Mleta uzi tufanyie ihsani ya watu hawa Billy blanks chuck norris na stevin seagul picha zao za sasa.
Hawa ndiyo walikuwa Wazee wa mbavu nene, Wataalamu wa Martial Art.Huyu jamaa movie yake ya striker kwa Mara ya kwanza niliiona 1994 , naipenda mpk kesho
nakumbuka enzi hizo kuangalia pilau kwenye vibanda umiza ilikua n kuanzia saa mbl usiku,mwenyekiti wa kijiji ndio alikua anasimama mlangoni akikagua ndevu kama huna hauingii
Hiyo kulima eka kwa plau unadanganya mzee. Acha fiksiiHii imenikumbusha kuna jamaa mmoja kule kijijini alikuwa na maguvu kweli kweli.....
Alikuwa anapiga kiki ya piki piki kwa mkono wake mmoja....
Alikuwa akibeba gunia mbili za mahindi kwa pamoja kwa mtindo wa x......
Alikuwa na uwezo wa kumkamata ng'ombe na kumchinja peke yake....
Alikwa na uwezo wa kusukuma plau ya kulimia pekee yake na kulima heka nzima ya shamba.....
Kwa kifupi jamaa alikuwa na nguvu za ajabu.....
Lakini juzi nilivyoende kuwasalimia jamaa.....nimemkuta hawezi hata kunyanyua ndoo ndogo ya lita kumi...iliyojaa mahindi....
Ama kwa hakika kila kitu kina wakati wake.....
Mkandala toka around1996-1997 juzi kati wengi wamemwiga tuHivi hizi movie zilizotafsiliwa zimeanza lini kwani maana mimi nimeanza kuzifahamu kama 2009 baada ya kuona watoto wananunua sana....
Ulale sasa au na wewe unakaba humu JF...Mkandala toka around1996-1997 juzi kati wengi wamemwiga tu
Anapokwepa mabomu yanayomiminwa na dege la kivita utampendaHuyu jamaa movie yake ya striker kwa Mara ya kwanza niliiona 1994 , naipenda mpk kesho
Mbona wewe uko macho!Ulale sasa au na wewe unakaba humu JF...
Anga zangu hizi!!!...teh..teh..Mbona wewe uko macho!
umenikumbusha mbaaaaaali, mbali sana. Kweli wakati ni ukuta ukipambana nao utaumia.Wapi Cynthia Rothrock?
Jackie Chan bado anapiga misamba na kufanya stunts zake mpaka leo!
Steven Seagal.
His latest movie, 2015.
NdioDada umekalia kitu chenye ncha kali au?
Na nyie kina mama mlikuwa mnaangalia hizi Movie?It's called Father Time.....