Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,384
- 3,926
cha kwanza hatuna walimu idadi hiyo mwalimu moja ana deal na wanafunzi 400 wa darasa moja tu atajua vipi huyu akelewa na yule ajaelewa.Mwanzo mgumu walimu sio zero kabisa kwamba hWana kitu kidogo kidogo wanajua na ndo kingereza kwa level ya msingi.
Wapo watoto wamefundishwa na walimu wa kwaida baadae wakaimprove kwa kujitafutia.
Hata walimu wapige cha ugoko ila katika earlier stage wanafunzi ni rahisi kuadapt lugha la kwanza mpaka la Saba wanakuwa na kitu kichwani.
Tunaweza kuanza hata leo na walimu wale wale naamini tutafika.
hatuna vitendea kazi hata mazingira ya wanafunzi ayaendani na maisha ya wanafunzi.
cha tatu soko la dunia la ushindani haliitaji lugha linataka , ufundi stadi, ubunifu na fikra tunduizi eg. china wanasoma kwa lugha yao masomo yao yote kasoro kiingereza tu.
nashauri kitumike kiswahili kufundishia lakini kiingereza kitumike kama somo la kujifunza tu