Wakati umefika wa kutumia Kiswahili kama lugha ya kufundishia

cha kwanza hatuna walimu idadi hiyo mwalimu moja ana deal na wanafunzi 400 wa darasa moja tu atajua vipi huyu akelewa na yule ajaelewa.

hatuna vitendea kazi hata mazingira ya wanafunzi ayaendani na maisha ya wanafunzi.

cha tatu soko la dunia la ushindani haliitaji lugha linataka , ufundi stadi, ubunifu na fikra tunduizi eg. china wanasoma kwa lugha yao masomo yao yote kasoro kiingereza tu.

nashauri kitumike kiswahili kufundishia lakini kiingereza kitumike kama somo la kujifunza tu
 
Sawa ila lugha nayo ili kujieleza so tunaona wenzetu wa Kenya japo wachache lakini lugha inawapa confidence angalau mtu hata akimaliza darasa la Saba anaweza kwenda kufanya kazi nje hata ya kufagia na kingereza anamudu kwa mbali.

Kama hatutoanza leo je ni Lin na siku zinakimba?
.mwanzoni ni kisanga ila miaka 20 mbele Kuna kitu kitakuwa kumebadilika.
 
tunazunguka lakini tunarudi pale pale nimukuuliza unajua soko la ushindani la dunia unajua linataka nini ....

lugha sio big deal duniani now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…