Nilipokuwa chuo mwaka wa pili, bum limekata home siwezi kuomba kwani nilikuwa najisomesha mwenyewe . Nikafikiria nikaona nikipata bum nikanunue jezi niwe nauza, biashara ikakubali ikawa inanilipa, ghafla mtaji ukakakata nyumbani kulikuwa na mamatatizo ikanilazimu kusolve. Nakumbuka siku hiyo ilikuwa alhamis nili lala njaa. Ijumaa naamka njaa yaniuma vibaya Sana utumbo unawasha halafu Sina ramani ya kupata pesa.siku hiyo nikamkumbuka mungu niaksema wacha niende masjid na Leo ijumaa. Nikaenda msikiti mmoja uko town msikiti wa waarabu. Sasa bhana Yule sheikh wa pale msikitini akajichanganya akaniona mstaarabu sijui kwa kuwa navaa miwani ya macho. Akanipa bahasha ya kaki akaniomba nisimame mlangoni Ili waumini wakiingia kusali waweke sadaka kwenye Ile bahasha ya kaki. Nikasimama waumini wakioita wanaupia sadaka mpaka muda wa khotuba ulipofuka nikaenda kukaa nisikize khotuba. Happy njaa inauma utumbo na akili havikuwana ushirikiano. Utumbo unawasha, kichwani naona Kama wadudu wanatembea. Nikaenda chooni haja ndogo, nilipomaliza nikaitoa Ile bahasha kuifungua nakuta noti za 10000 za kutosha. Akili ikanambia to " Mungu ana samehe Saba mara sabini, utakufaa njaa kizembe " Sikuhesabu nikapita na misimbazi 3( 30000) nikarudi ndani msikitini .Tulipomaliza kusali fasta nikamfuata Yule sheikh nikamkabidhi bahasha yake nikamwambia nawahi chuo. Akapokea, nikatembea sikugeuka nyuma.
Mungu atusamehe kwa kweli, kupigika kubaya
DuuhNilipokuwa chuo mwaka wa pili, bum limekata home siwezi kuomba kwani nilikuwa najisomesha mwenyewe . Nikafikiria nikaona nikipata bum nikanunue jezi niwe nauza, biashara ikakubali ikawa inanilipa, ghafla mtaji ukakakata nyumbani kulikuwa na mamatatizo ikanilazimu kusolve. Nakumbuka siku hiyo ilikuwa alhamis nili lala njaa. Ijumaa naamka njaa yaniuma vibaya Sana utumbo unawasha halafu Sina ramani ya kupata pesa.siku hiyo nikamkumbuka mungu niaksema wacha niende masjid na Leo ijumaa. Nikaenda msikiti mmoja uko town msikiti wa waarabu. Sasa bhana Yule sheikh wa pale msikitini akajichanganya akaniona mstaarabu sijui kwa kuwa navaa miwani ya macho. Akanipa bahasha ya kaki akaniomba nisimame mlangoni Ili waumini wakiingia kusali waweke sadaka kwenye Ile bahasha ya kaki. Nikasimama waumini wakioita wanaupia sadaka mpaka muda wa khotuba ulipofuka nikaenda kukaa nisikize khotuba. Happy njaa inauma utumbo na akili havikuwana ushirikiano. Utumbo unawasha, kichwani naona Kama wadudu wanatembea. Nikaenda chooni haja ndogo, nilipomaliza nikaitoa Ile bahasha kuifungua nakuta noti za 10000 za kutosha. Akili ikanambia to " Mungu ana samehe Saba mara sabini, utakufaa njaa kizembe " Sikuhesabu nikapita na misimbazi 3( 30000) nikarudi ndani msikitini .Tulipomaliza kusali fasta nikamfuata Yule sheikh nikamkabidhi bahasha yake nikamwambia nawahi chuo. Akapokea, nikatembea sikugeuka nyuma.
Mungu atusamehe kwa kweli, kupigika kubaya
Mungu aliamua kukupima imani yako,matekeo ya mtihani ukaangukia pua,kama uliomba toba mungu atakusamehe.....unatakiwa uwe muumini Wa kweli sasa Wa kuswali sana na kufuga uchebe!!!Nilipokuwa chuo mwaka wa pili, bum limekata home siwezi kuomba kwani nilikuwa najisomesha mwenyewe . Nikafikiria nikaona nikipata bum nikanunue jezi niwe nauza, biashara ikakubali ikawa inanilipa, ghafla mtaji ukakakata nyumbani kulikuwa na mamatatizo ikanilazimu kusolve. Nakumbuka siku hiyo ilikuwa alhamis nili lala njaa. Ijumaa naamka njaa yaniuma vibaya Sana utumbo unawasha halafu Sina ramani ya kupata pesa.siku hiyo nikamkumbuka mungu niaksema wacha niende masjid na Leo ijumaa. Nikaenda msikiti mmoja uko town msikiti wa waarabu. Sasa bhana Yule sheikh wa pale msikitini akajichanganya akaniona mstaarabu sijui kwa kuwa navaa miwani ya macho. Akanipa bahasha ya kaki akaniomba nisimame mlangoni Ili waumini wakiingia kusali waweke sadaka kwenye Ile bahasha ya kaki. Nikasimama waumini wakioita wanaupia sadaka mpaka muda wa khotuba ulipofuka nikaenda kukaa nisikize khotuba. Happy njaa inauma utumbo na akili havikuwana ushirikiano. Utumbo unawasha, kichwani naona Kama wadudu wanatembea. Nikaenda chooni haja ndogo, nilipomaliza nikaitoa Ile bahasha kuifungua nakuta noti za 10000 za kutosha. Akili ikanambia to " Mungu ana samehe Saba mara sabini, utakufaa njaa kizembe " Sikuhesabu nikapita na misimbazi 3( 30000) nikarudi ndani msikitini .Tulipomaliza kusali fasta nikamfuata Yule sheikh nikamkabidhi bahasha yake nikamwambia nawahi chuo. Akapokea, nikatembea sikugeuka nyuma.
Mungu atusamehe kwa kweli, kupigika kubaya
feyzal hahaha uyo Dulla alikuwa mjanja mapema....Kazi za raia wa kigeni ni ngumu mno...
Dah hatari we jamaa umenchekesha balaa ko vp jamaa yako alikua karani kweli au
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]we na dullah ni wehu kabisa doh
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah nimecheka sanaNilipokuwa chuo mwaka wa pili, bum limekata home siwezi kuomba kwani nilikuwa najisomesha mwenyewe . Nikafikiria nikaona nikipata bum nikanunue jezi niwe nauza, biashara ikakubali ikawa inanilipa, ghafla mtaji ukakakata nyumbani kulikuwa na mamatatizo ikanilazimu kusolve. Nakumbuka siku hiyo ilikuwa alhamis nili lala njaa. Ijumaa naamka njaa yaniuma vibaya Sana utumbo unawasha halafu Sina ramani ya kupata pesa.siku hiyo nikamkumbuka mungu niaksema wacha niende masjid na Leo ijumaa. Nikaenda msikiti mmoja uko town msikiti wa waarabu. Sasa bhana Yule sheikh wa pale msikitini akajichanganya akaniona mstaarabu sijui kwa kuwa navaa miwani ya macho. Akanipa bahasha ya kaki akaniomba nisimame mlangoni Ili waumini wakiingia kusali waweke sadaka kwenye Ile bahasha ya kaki. Nikasimama waumini wakioita wanaupia sadaka mpaka muda wa khotuba ulipofuka nikaenda kukaa nisikize khotuba. Happy njaa inauma utumbo na akili havikuwana ushirikiano. Utumbo unawasha, kichwani naona Kama wadudu wanatembea. Nikaenda chooni haja ndogo, nilipomaliza nikaitoa Ile bahasha kuifungua nakuta noti za 10000 za kutosha. Akili ikanambia to " Mungu ana samehe Saba mara sabini, utakufaa njaa kizembe " Sikuhesabu nikapita na misimbazi 3( 30000) nikarudi ndani msikitini .Tulipomaliza kusali fasta nikamfuata Yule sheikh nikamkabidhi bahasha yake nikamwambia nawahi chuo. Akapokea, nikatembea sikugeuka nyuma.
Mungu atusamehe kwa kweli, kupigika kubaya
Unapaswa kutoa sadaka hiyo pesa kwa namna nyingineNilipokuwa chuo mwaka wa pili, bum limekata home siwezi kuomba kwani nilikuwa najisomesha mwenyewe . Nikafikiria nikaona nikipata bum nikanunue jezi niwe nauza, biashara ikakubali ikawa inanilipa, ghafla mtaji ukakakata nyumbani kulikuwa na mamatatizo ikanilazimu kusolve. Nakumbuka siku hiyo ilikuwa alhamis nili lala njaa. Ijumaa naamka njaa yaniuma vibaya Sana utumbo unawasha halafu Sina ramani ya kupata pesa.siku hiyo nikamkumbuka mungu niaksema wacha niende masjid na Leo ijumaa. Nikaenda msikiti mmoja uko town msikiti wa waarabu. Sasa bhana Yule sheikh wa pale msikitini akajichanganya akaniona mstaarabu sijui kwa kuwa navaa miwani ya macho. Akanipa bahasha ya kaki akaniomba nisimame mlangoni Ili waumini wakiingia kusali waweke sadaka kwenye Ile bahasha ya kaki. Nikasimama waumini wakioita wanaupia sadaka mpaka muda wa khotuba ulipofuka nikaenda kukaa nisikize khotuba. Happy njaa inauma utumbo na akili havikuwana ushirikiano. Utumbo unawasha, kichwani naona Kama wadudu wanatembea. Nikaenda chooni haja ndogo, nilipomaliza nikaitoa Ile bahasha kuifungua nakuta noti za 10000 za kutosha. Akili ikanambia to " Mungu ana samehe Saba mara sabini, utakufaa njaa kizembe " Sikuhesabu nikapita na misimbazi 3( 30000) nikarudi ndani msikitini .Tulipomaliza kusali fasta nikamfuata Yule sheikh nikamkabidhi bahasha yake nikamwambia nawahi chuo. Akapokea, nikatembea sikugeuka nyuma.
Mungu atusamehe kwa kweli, kupigika kubaya