ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,879
- 41,971
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna Siku nilipanda chai maharage( daladala, mwaka 1995) kwenda kariakoo wakati wakurudi nilikaa kituoni kuisubilia gari hiyo hiyo mpaka ilipotokea tena.nilijua daladala inayotoka eneo hilo ni hiyo moja tu.kipindi hicho zilikuwa hazijaandikwa zinapokwenda.