mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 909
- 1,425
Mkuu usiwatisheUkimwi ni malaria
Mko wapi?
😹😹😹
Hawa ndio watanzania wanavyofikiri. Aliyekuwa anakupa dawa kasema anasitisha, anayetakiwa kukupa dawa kanyamaza kimya, halafu wewe unasema dawa zitapatikana tu. Hujasoma paragraph za mwisho muandishi ameeleza ili zipatikane na tusiwe na madhara ni mambo gani watunga sera wafanye. Bila hivyo it is just a matter of time. Time will tellHakuna lolote litatokea wala hakutakua na mass deaths.
Propaganda tu, na dawa zitapatikana kama kawaida.
Alaa Kwa hiyo Kila kitu Huwa kinajileta automatically ikiwemo hizo Barabara unakopita si ndio?Serikali yetu tunaijua hakuna kitu inachoweza zaidi ya kukusanya wasanii Dodoma.
Kila mradi wa maendeleo unaondelea unafanyika kwa fedha za msaada au mkopo
Serikali igharamie ARV za watoto. Pesa ipoCondom itawakimba ambao tayari wanao? What about watoto wanaozaliwa nao?
Use common sense
This time vitakuwa subsidized na GoTSoma vizuri ,andiko limesema most of condoms na virahinishi vilikuwa subsidized kwa msaada wa USG funds, je wewe uko tayari kutoa 50,000/Tsh kununua condom wakati ninakujua posho yake tu unamghalagaza 10,000 Tsh
Siwatishi me nawatafuta tuMkuu usiwatishe
Nilitaka kukisema hiki kisa mkasa ila nikaona nisiegemee sana kisiasa ila kuna ukweli ebu fikilia ghalama zote hizo...suala ni priorities zetuSerikali yetu tunaijua hakuna kitu inachoweza zaidi ya kukusanya wasanii Dodoma.
Kila mradi wa maendeleo unaondelea unafanyika kwa fedha za msaada au mkopo
Huyu Trump anataka kuharibu kabisa atmosphereSiwatishi me nawatafuta tu
Hi unafahamu historia ya dawa za HIV/AIDS ilivyokuwa mpaka wagonjwa wanauziwa dawa za magendo, hiyo government haikuwepo. Tumepata nafuu baada ya hizi dawa kuwa subsidized. Sasa ni miaka zaidi ya 20 tumejipangajeThis time vitakuwa subsidized na GoT
Ila inasikitisha sanaHuyu Trump anataka kuharibu kabisa atmosphere
SanaaaaIla inasikitisha sana
Mfunge zipuSanaaaa
Tuna uwezo huo Kwa Sasa wa kifedha na certificationHi unafahamu historia ya dawa za HIV/AIDS ilivyokuwa mpaka wagonjwa wanauziwa dawa za magendo, hiyo government haikuwepo. Tumepata nafuu baada ya hizi dawa kuwa subsidized. Sasa ni miaka zaidi ya 20 tumejipangaje
Zipu langu bovu mkuu, likikutana na kapu la nyege si balaa tupuMfunge zipu
Tufunge miguu
Tuzuie ugonjwa kusambaa
Bora umenisaidia boss wangu. Sisi waafrika tunachukulia mambo hatari poa tu. nimependa summary yako inayohakisi pathpphysiology niliyoongea kwenye paragraph 1 &2 ......"HIV inaweza kuenea kwa kasi zaidi, ku evolve kwa kasi zaidi, kuwa kali zaidi na inayoua zaidi,"HIV inaweza kuenea kwa kasi zaidi, ku evolve kwa kasi zaidi, kuwa kali zaidi na inayoua zaidi, na hiyo mpya kuwafikia hata huko Ulaya na Marekani.
George W. Bush hakuwa mjinga kuanzisha hii program.
Alijua falsafa ya "we fight them over there so that we won't have to fight them over here".