Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

Hakuna lolote litatokea wala hakutakua na mass deaths.
Propaganda tu, na dawa zitapatikana kama kawaida.
Hawa ndio watanzania wanavyofikiri. Aliyekuwa anakupa dawa kasema anasitisha, anayetakiwa kukupa dawa kanyamaza kimya, halafu wewe unasema dawa zitapatikana tu. Hujasoma paragraph za mwisho muandishi ameeleza ili zipatikane na tusiwe na madhara ni mambo gani watunga sera wafanye. Bila hivyo it is just a matter of time. Time will tell
 
Soma vizuri ,andiko limesema most of condoms na virahinishi vilikuwa subsidized kwa msaada wa USG funds, je wewe uko tayari kutoa 50,000/Tsh kununua condom wakati ninakujua posho yake tu unamghalagaza 10,000 Tsh
This time vitakuwa subsidized na GoT
 
Serikali yetu tunaijua hakuna kitu inachoweza zaidi ya kukusanya wasanii Dodoma.

Kila mradi wa maendeleo unaondelea unafanyika kwa fedha za msaada au mkopo
Nilitaka kukisema hiki kisa mkasa ila nikaona nisiegemee sana kisiasa ila kuna ukweli ebu fikilia ghalama zote hizo...suala ni priorities zetu
 
HIV inaweza kuenea kwa kasi zaidi, ku evolve kwa kasi zaidi, kuwa kali zaidi na inayoua zaidi, na hiyo mpya kuwafikia hata huko Ulaya na Marekani na kusambaa sana mpaka huko.

George W. Bush hakuwa mjinga kuanzisha hii program.

Alijua falsafa ya "we fight them over there so that we won't have to fight them over here".
 
HIV inaweza kuenea kwa kasi zaidi, ku evolve kwa kasi zaidi, kuwa kali zaidi na inayoua zaidi, na hiyo mpya kuwafikia hata huko Ulaya na Marekani.

George W. Bush hakuwa mjinga kuanzisha hii program.

Alijua falsafa ya "we fight them over there so that we won't have to fight them over here".
Bora umenisaidia boss wangu. Sisi waafrika tunachukulia mambo hatari poa tu. nimependa summary yako inayohakisi pathpphysiology niliyoongea kwenye paragraph 1 &2 ......"HIV inaweza kuenea kwa kasi zaidi, ku evolve kwa kasi zaidi, kuwa kali zaidi na inayoua zaidi,"
 
Back
Top Bottom