Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

USAID ilikuwa inadhibiti ngono? mbona kuna maeneo hawajawahi hata kuonekana wala kusikika lakini maambukizi ni kama walipo hao USAID
 
Umwahi kumuona mtu ambae ana ukimwi afu Kaacha.kutumia dawa kwa muda
Ni hatari
Sijawahi kumuona mtu mwenye Ukimwi labda mwenye mchanganyiko wa gonjwa zaidi ya Moja kama vile kifua kikuu afu hapo hapo ana kansa ya damu anaharisha na kutapika of course ni hatari
 
Kwamba hatutoboi bila waamerika.... Niamini wapo watu mamlakani wanaweza kulitafakari hili la USAID na suluhu ikapatokana na Mambo zikasonga.
Isharah hizi ndizo comment tunazozitaka.Let all have hope kuna watunga sera baadhi wanaelewa hii lugha na watajipanga kutuepusha na tishio hili
 
Yaani ndio maana paragraph ya kwanza nimeanza kwa kusema nitafocus kwenye HIV/AIDS, na wala sijafocus kwenye meneo lukuki ya afya, Malaria, RMNCAH (AFYA YA MAMA NA MTOT0), Vifaa tiba na madawa (supply chain). Hatari kubwa ipo kenye sector nyingine mtabumbuka, elimu, kilimo, democracy, misitu etc. Halafu mtu anaibuka na kusema tuko fit. Narikiri lengo si kujibeza lengo ni kuonyesha umuhimu wa kuona harai mbele yetu na kujipanga
 
Acha tufe Tu, Acha tukafie mbaliiii, yaani USAIDS ni zaidi ya firauni....
JF nisameheni nimekasirika Sana baada ya Elon kutufunulia yaliyokuwa nyuma ya hawa mashetani!

Kuna wakati nilikuwa najiuliza kuna nini nyuma ya hii miradi inyofadhiliwa na USAIDS hasa ya ukimwi....kidume napigiwa simu niende nikachukue njugu zangu, nawaambia sina nauli wananijibu chukua boda boda tutakulipia nauli! Nafika kituoni nakaribishwa kwa bahasha, wananiuliza kama Nina mchepuko mwingine zaidi ya mke wangu na Yule niliyewatajia mwezi uliopita, nawaambia yeah, wananiomba niwaunganishe naye au wanipe vocha nimpigie.....hadithi ni ndefu wenyekuelewa wataelewa jinsi majamaa walivyoyulemaza ili Tu misukule ya misaada...

Wakati jirani yangu kafiwa mke na mtoto kwa matatizo ya uzazi na hakuna anayehangaika nao! Pumbavu

Kipindi cha SESAME STREET kulikuwa kinaonyeshwa na TV gani hapa Tanganyika? Nauliza kwasababu jamaa walituzunguka Sana Hadi watoto wetu WA kiume wamegeuka mashoga jamani! Hadi panya na mbuzi wamepewa "hormone" wakas@g@ne....damn it! Mleta Uzi naona ni dreva WA DFPA hajui walivyotuachia usugu WA utegemezi

Naomba nizime TV yangu hapa naona FOX News wanazidi kuniumiza Mimi mwanawane!
 
Asante. Huu ni mwandiko wa Dr Janabi. Kweli kuna kazi
 
Kuuliza si ujinga, AMREF iko wapi siku hizi na mradi wake wa ANGAZA? Walisaidia sana kuhamasisha upimaji bure na kutoa ushauri nasaha namna ya kujilinda na kuishi na maambukizi enzi hizo ARVs si nyingi mwanzoni mwa miaka ya 2000
 
Inawezekana kweli mwanzo tukafa sana baadae ukimwi ukapotea mazima na usiwepo tena

Tatzo bado kuna wajinga wanahela sana wataweza kununua hzo ARV's,ingekuwa wote hatuwez kuzinunua naamin ukimwi ungeisha kabisa
Unaamini hakutakuwa na maambukizi mapya?
 
Waache wafanye uzembe kwani wao watabaki salama,si wana watoto,wana ndugu ambapo humo na sisi kajambanani tumo,nina matumaini mipango inaendelea na soon itatangazwa.Hofu tu ni kwa zile nchi zenye vita ambapo hakuna uratibu wa kutosha...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…