Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Machoko tena mkuu..Ndo muda wa serikali kuanza kuwashughurikia machoko maana hatuna Cha kupoteza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Machoko tena mkuu..Ndo muda wa serikali kuanza kuwashughurikia machoko maana hatuna Cha kupoteza
Ndio maana serikali ilikuwa inaogopa kubaniwa misaada na wakubwa Sasa tuwapige vita maana misaada yenyewe hakunaMachoko tena mkuu..
DANIDA, SIDA, JICA wako wapi siku hizi na misaada yao ya elimu?Kodi anakula Mwigulu na Team yake huko bungeni.
80% ya Vitabu vyote vya Sekondari ni msaada wa USAID. Nchi haina uwezo hata wa kununulia Vitabu wanafunzi wake
cocastic una maoni gani juu ya hiliNdio maana serikali ilikuwa inaogopa kubaniwa misaada na wakubwa Sasa tuwapige vita maana misaada yenyewe hakuna
huo si ndio ukimwi wenyewe babu?Sijawahi kumuona mtu mwenye Ukimwi labda mwenye mchanganyiko wa gonjwa zaidi ya Moja kama vile kifua kikuu afu hapo hapo ana kansa ya damu anaharisha na kutapika of course ni hatari
Duh!!,,kwa hiyo watengeneza ARvs lengo ni kuuza ili wapige hela au ni mradi,na je kama hivyo ndivyo, kwanini sisi afrika tusitengeneze dawa za kifua kikuuu tukamaliza hili tatizo??na tusiwe wategemezi wa hizo ARvs tangu awali!!!?nini tatizo letu ??Ngoja kwanza. Ukipima ukimwi leo ukakutwa -ve utaambiwa uje baada ya miezi mitatu. Ukipima tena baada miezi mi3 ukakutwa ni -ve utaambiwa tena njoo baada ya miezi 3. Nini huwa ni hitima ya upimaji huo. ARVs inaweza ikazibwa pengo lake na vitu vingine kabisa kama elimu itatolewa kwa usahihi. HIV ni kitu kingine kabisa wala hakisababishi ukimwi kama tunavyofundishana. Ugonjwa uliouwa watu miaka ya 80_90 huko kagera ya kaskazini mashariki ulikuwa ni kifua kikuu ila akatwishwa HIV hiyo kesi na ndo anapambana nayo mpaka leo. Tukifanikiwa kumuangamiza kifua kikuu kesho basi ukimwi anajizika leo usiku
Yatakuwepo na wataagua watakufa na baadae miili yetu itatengeneza kinga bila kutegemea madawa,pia naamin huu ugonjwa sio kwamba waafrika wasingeweza kuuzui kabisa kama sio mzungu kuingilia mapema naamin tungeweza kupambana naoUnaamini hakutakuwa na maambukizi mapya?
nahisi hisi na wake!Asante. Huu ni mwandiko wa Dr Janabi. Kweli kuna kazi
Humu namo kumbe Elimu bado😅😅😅USAID ilikuwa inapunguzaje maambukizi?
Maambukizi yanatokana na mtu asiye na maambukizi kushiriki tendo la ndoa na mtu mwenye maambukizi bila kinga.
Sasa hapo USAID inahusikaje?
sasa hapa wajuba mnaingiza siasaKabisa na awaongezee baraka zote atoe kwa mwafrica apeleke kwa wazungu.
Tena ahakikishe wakati wa armegedonni achome mote waafrica wote abakishe wazungu tuu
Unazingatia hasara kwa USA , kwahyo huoni hasara kwetu kabisa?Hakuna atakayefanya kosa kuzuia arvs. Maana hasara ya marekani ni kubwa kuliko afrika. Kuzuia kwa misaada ya ARVs ni kuizika AIDs Afrika. Huu ndo mwisho wa ukimwi. Wachague wao sasa. Wasitishe misaada wa kuusaidia ukimwi uendeleww kuishi ama wautelekeze ukimwi ufie huku afrika. Kumbuka ARVs ipo kwa kuunusuru ukimwi. Siyo kunusuru binadamu
duh! Kama hapo congo kwa waasi wa m23, sudan kwa wale majeneraliWaache wafanye uzembe kwani wao watabaki salama,si wana watoto,wana ndugu ambapo humo na sisi kajambanani tumo,nina matumaini mipango inaendelea na soon itatangazwa.Hofu tu ni kwa zile nchi zenye vita ambpo hakuna uratibu wa kutosha...
Mtu hata hajui tofauti ya ‘Time Bomb’ na ‘Timing’ ya Bomb, utajadili nae nini sasa?Tuko twingi tu humu na huwa tunadanganyana sana. Kuna uzi alianzisha FRANCIS DA DON kuhusu hii mada ya HIV/AIDS aliyoandika na wenzake wanavyom-support utasikitika.
CCM wanahahaMungu Wabariki Wazungu
Ipo faida kwetu. Yaani kwetu ni faida tu. Hakuna hasaraUnazingatia hasara kwa USA , kwahyo huoni hasara kwetu kabisa?