Wakati USAID Ikipotea, Tutegemee Vifo na Maambukizi Mapya ya HIV makubwa haijawahi tokea, Tusipochukua hatua ;it is really a timing Bomb!

Shida nin kwamba mlengwa hasa hafaidiki moja kwa moja pesa nyingi zinaishia kwenye semina mishahara minono kwa wafanyakazi na posho,mnufaika angekuwa anapata dawa kwa uhakika na kupelekewa hiduma mpaka kijijini,pesa nyingi ingetumika kufanya awareness kwa matamasha na kwenye vyombo vikubwa vya habari kama ilivyokuwa enzi zile..mbona ujumbe ulifika kwa haraka..hii.mambo ya kuzipa NGO wanakaa vyumbani wanajifungia ulwanapika data na kujilipa wao kuwa wamefanya awareness sio sawa..data zinapikwa mno ..uliza hata mtaani kwako kama waliwahi ona muelimishaji amepita kutoa elimu ya ukimwi..

Hivi ni vichochoro vya kula pesa za wenye pesa. Wameshitukia
 
UNAID Inaendelea alafu USAID sidhani kama itarudi inavyogongelewa misumari na DOGE sidhani kama kutakuwa na ulazima itaundwa ingine ila after 90 days apo katikati ndo mtafutano utaanza lazima tupate mass death ili tuzame ktk mikataba yao
 
Hivi ni vichochoro vya kula pesa za wenye pesa. Wameshitukia
Kabisa nakwambia mkuu Pesa kuipitishia kwa hivi vi Local NGO ni janga na ni matumizi mabaya ya pesa za walengwa..kuna urasimu mkubwa mno kule wanatafuna pesa vibaya mno wakurugenzi na wahasibu ndo hawafai kabisa wanavunja activities na posho za wafanyakazi na volunteers wao pesa wanakula wao,mbaya zaidi budget inafichwa haiwekwi wazi ili wapige pesa vizuri..ukihoji tu kazi huna..LOCAL NGO NI SUMU SUMU SUMU MNO
 
Acheni uzinifu, yani uende kuzini kwa starehe zako huko kisha usubiri misaada ya USAID.

Bora hata wangewasaidia wagonjwa wa cancer
 
Ni kinyume chake,
PEPFAR ndio iko chini ya USAID, inapewa pesa na USAID
Acha uzushi, USAID, Department of Defense (DOD) na CDC wanapewa pesa za HIV na PEPFAR na wote wanasimamiwa na ku report PEPFAR
 
Elimu izidi kutolewa serikali ibebe jukumu la kutoa elimu tahdhari kwa jamii ili kuilinda na maambukizi mapya

Serikali itoe wigo kwa wataalamu wetu wa ndani kusupport tafiti kwa tiba mbadala na wataalamu wetu ili wapate matokeo chanya juu ya Tiba au ahueni kwa gonjwa hili.
 
Acha uzushi, USAID, Department of Defense (DOD) na CDC wanapewa pesa za HIV na PEPFAR na wote wanasimamiwa na ku report PEPFAR

Naona hii PEPFAR imeanza kuleta chokochoko . Kama PEPFAR inatokea marekani, namuomba head of D.O.G.E asiisahau, Trump aipige pin.
 
Mlitegemea misaada mpewe mpaka kiama?
. Ni sawa kabisa ulichoandika naona awareness inahitajika sana na kuweka vipeperushi kila hospitali na pia kila sehemu kama mashuleni watoto na vijana waelezwe athari za ngono na maambukizi yake
Turudi na kusema ukimwi huuwa
Wazungu wamewachoka amkeni
Mbona waafrika wenzetu wanatengeneza ARV ? Kwani mnakwama wapi
Mlijisahau sana mkijiweka masikini wa kutupa
Misaada kwa ajili ya masikini na mmeshindwa kuvuka hiyo line kisa vya bure
 
Naona hii PEPFAR imeanza kuleta chokochoko . Kama PEPFAR inatokea marekani, namuomba head of D.O.G.E asiisahau, Trump aipige pin.
Na yenyewe inafanyiwa review, ndiyo maana hata wenyewe funds zao zimekuwa freezed.
Kilichowaponza USAID ni kitendo chao cha kujifanya wao ni vitengo kwamba hawawezi kukaguliwa, na yeyote yule hata rais.
Ila ninapenda kujua kwanini umesema imeanza kuleta chokochoko?
 
Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika la USAID, wale wenye maambukizI mapya wanagundulika mapema na wanapata vipimo na kuanza kutumia dawa bure kutoka kenye shirika la USAID, Wagonjwa wa HIV/AIDS wanapata cancelling na usaidizi wa lishe bora pamoja na njia za uzazi salama na za kujikinga kuambukiza wengine bure kutoka katika shirika la USAID. Condom za bei rahisi, virahinishi vyote vinapatika kwa bei subsdized kutoka shirika la USAID.

Sasa sayansi ya tiba inasema seroconvergence inakuwa kubwa mara zaidi ya hamsini (50-80%) mtu akiacha kutumia dawa za chronic illness mfano Kansa au za HIV/AIDS. Ebu tujikite kwenye HIV/AIDS; maana yake wale wadudu waliokuwa wamebakia kwenye sanctuary places wanaibuka kwa nguvu mpya na kasi ya ajabu, sio tu kwenye kuzaliana bali kumutate na kushambulia sehemu zote muhimu za mwili, maini, figo,damu moyo, mapafu, ngozi kwa speed ya ajabu, Mara nyingi hawa wagonjwa hawachukui muda kufariki ni bora wasingeanza dawa, it is non stopable battle of new serocovergence.

Kibaya zaidi, mbali ya virulence potential ya hawa virus wa hawa wagonjwa kuwa kubwa bali infectivity potential yao ni balaa, hapo nyuma uliweza kujamiiana na mtu wa HIV mara zaidi ya 10 bila maambukizi kwa sababu alikuwa yuko kwenye tiba (undetectable viral load); viral load yake ilikuwa very low, na infectivity power ya virus ilikuwa almost negligible.Sasa tutegemee infection rate (incidence) ya HIV kupanda zaidi ya mara 50, unategemea nini kuhusu maambukizi mapya;kumbuka jamii yetu tunaendelea kula bata bila kinga kama kawa, hatujui hawa watu wako kwenye seroconvergence tena wengi wao wamenawili kuliko sisi kajamba nani kutokana na protein za kwenye dawa hizo. Nakuambia hatujawahi kuencounter kitu kama hiki tangia ugonjwa wa HIV ugundulike.

Kumbuka tulijishahau mpaka ikafika sehemu tukaona ukijipaka mafuta ya nazi ni kinga tosha ,hakuna haja ya condom, na kwa sababu watu walikuwa hawahambukizwi hata wakigundua wametumia mafuta ya nazi kwa HIV patients tukaconclude huhusiano (association) ya protective effect ya mafuta ya nazi na kuambukizwa HIV.tukaona mafuta ni kinga bora;sasa jichanganye kwaseroconvergence patient ndipo utakiona cha mtema kuni,hata ukijimwagia kachupa kazima, yale majimaji yake tu (fluids na serum) yanakuwa na virus mamilioni, Hatukujua ni kwa sababu ya depreeved HIV Viral load baada ya dawa na si mafuta. Hapo sijahusisha Madenda zembe tuliyokuwa tukipigana, sasa oral na oesophagial candidiasis zitakuwa kibao, madonda ya mdomoni kibao, ole wako, ukiingiza ulimi tu....tayari. Yaani ni hatari.

Sasa cha ajabu watunga sera wanasubili disaster itokee, vifo vipangane mahospitalini , new infection rate ifikie zaidi ya 30 % ina maana ratio iwe 1.3 kati ya wagonjwa na wazima, it will be too late my friend na ndipo tushtuke, nakuambia itakua too late. Juzi nilikuwa najiuliza hivi hawa wazungu walipangakwa makusudi yaani "tuwadekeze kwa dawa za bure hawa waafrika, then tu- stop ghafla bila wao kujiandaa, wapukutike na kuambukizana kwa kasi ya ajabu ,hapo tutakuwa tumefikia lengo letu la depopulizing afrika" . Kama ndivyo ilivyokuwa basi watakuwa wamefanikiwa kwa asilima zaidi ya 110%. Na kwa sababu sisi tunaendekeza ngono sana sana tena sana sana na hatuko serious kenye kujikinga na hatujui kuchukua hatua haraka za kulinda jamii yetu, mfano si unaona mpaka sasa ni hatua gani imechukuliwa zaidi ya maneno ya kisiasa.

Nilitegemea nini sasa kwa watunga sera wetu kwenye hili Janga la kitaifa?

1) Kwanza wangefunds na kutoa new emergence strategic plan ya upatikanaji wa dawa na vipimo vya HIV/AIDS kwa uhakika na urahisi kwa wagonjwa wote.

2) Pili nilitegemea wangefund na kutoa new emergence strategic plans za uwezeshaji wa upimaji wa HIV/AIDS kwa uhakika na uharaka.

3) Tatu, tena muhimu zaidi nilitegemea kwa sababu tajwa paragrahy ya 1 na 2 hapo juu kuhusu uwezekano wa maambukizi mapya ya kasi ya umeme tulitegemea watenge fedha na kutengeneza new emergence HIV/AIDS health education , health promotion and prevention strategic plan ambayo iko tailored to the emerging situation

Kwangu mimi hii ya emergence HIV/AIDS health education ,health promotion and prevention strategic plan ambayo iko tailored to the emerging unique situation should be the first priority na ingeanza kuanzia January 2025,it is an emergence because it touches the corner stone of public health initiaves (emergence preparedness & prevention ). Kwa nini nasema hivyo? nitakueleza? kaa mkao wa kula tu husiwe mbishi, kwani humu jamii forum kila mtu ana PhD ya kila fani, mimi sielewagi comments zetu, kumbuka hii ni sayansi ya public health & health management. Jamani situation tunayoenda kukabiliana nayo hahijawahi kutokea duniani kote ,watu wengi , nchi nyingi kustop ghafla dawa za HIV/AIDS (mass stoppage of medication) na kusababisha mass viral load multiplication, viral mutation na infectivity rate (incidence) kuongezeka. Hii inahitaji another approaches of health education and health promotion ikitarget hizo arms tatu unique zinazotokea baada ya mtu kuacha dawa. It should not be business as usual.

Itabidi turudi kwenye drawing board, tuache mipango ya ku-copy and ku-paste kwani hii ni unique situation has never happened in the past kwenye upande wa HIV/AIDS. Turudi kule kama mwanzo kutumia multiple media (news letters, radios, TVs, community dilogies, targeted health education mostly to patients themselves na hawa ni muhimu kwani ndio yatakuwa mabomb ya kulipulia watu. SOCIAL BEHAVIOUR CHANGES approaches targetting ku-raise community education and awareness, hasa ya nini kimetokea na kinachotokea, nini kifanyike wakati wa sex na mtu aliyeacha dawa, nini kifanyike kwa aliyeacha dawa, nini kifanyike ukijikuta umejichanganya na mtu aliyeacha dawa, ni vitu gani muhimu vya kuzingatia wakati unadeal na hawa watu walioacha dawa. Lakini provision ya public assurance, serikali yao inafanya nini kukabiliana na hili janga ili kutoleta mshtuko wa kijamii, ni bora upate mshtuko wa mtu mmoja mmoja na si mshtuko wa jamii.hiyo ni hatari. Je wewe unasemaje kuhusu hatari iliyo mbele yetu.toa maoni yako.....
Hatari ni kubwa,ila kwa tabia zetu za Kitanzania hasa kwa tabaka lililo uongozini ni wakati sahihi kukataa yooote yale yanayoliumiza taifa kwa sababu ya itikadi za chama,na maslahi kwa chama.Badala yake uachwe mfumo wa kiuchaguzi uweze kuchagua viongozi na watunga sera wanaoweza kutoa mchango wa kweli kulisaidia taifa hili.Mtindo wa sasa na wavipindi vilivyopita vya uchaguzi wa kiini macho ni sababu ya kushindwa kufanya mambo yetu bila mazoea,kulindana,wizi na ufisadi.Hivyo ni muda sahihi kuamka kutoka usingizini vinginevyo hali ijayo hivi punde itatulazimisha kuamka.
 
Na yenyewe inafanyiwa review, ndiyo maana hata wenyewe funds zao zimekuwa freezed.
Ila ninapenda kujua kwanini umesema imeanza kuleta chokochoko?
Don't mind about this.Mi huwa nina bifu langu binafsi na watu wa sekta ya afya especially madaktari wa Tanzania.Madaktari wa Tanzania wanaonekana wamevaa nguo safi lakini moyoni ni wachafu.Huwa ninafikia hatua nashauku karma ifanye kazi yake iyafute magonjwa yote duniani ili hawa jamaa wakose kazi ya kufanya au mtu mmoja aingie na bomu wakati wa morning meeting za hospital awalipue madaktari wote wafe.

Halafu daktari aliye sababisha niwe na bifu nao karma imeshamtandika ameugua ukimwi,nataka afe.
 
Leo nitajikita kwenye kupotea kwa misaada ya HIV/AIDS tu , tuna watanzania zaidi ya millioni na nusu wanachukua na kupata dawa za HIV/IADS bure kutoka kwenye shirika la USAID, hawa watanzania wanapata vipimo vya serostatus na viral loads kila mwezi kupima maendeleo yao bure kutoka kwenye shirika la USAID, wale wenye maambukizI mapya wanagundulika mapema na wanapata vipimo na kuanza kutumia dawa bure kutoka kenye shirika la USAID, Wagonjwa wa HIV/AIDS wanapata cancelling na usaidizi wa lishe bora pamoja na njia za uzazi salama na za kujikinga kuambukiza wengine bure kutoka katika shirika la USAID. Condom za bei rahisi, virahinishi vyote vinapatika kwa bei subsdized kutoka shirika la USAID.

Sasa sayansi ya tiba inasema seroconvergence inakuwa kubwa mara zaidi ya hamsini (50-80%) mtu akiacha kutumia dawa za chronic illness mfano Kansa au za HIV/AIDS. Ebu tujikite kwenye HIV/AIDS; maana yake wale wadudu waliokuwa wamebakia kwenye sanctuary places wanaibuka kwa nguvu mpya na kasi ya ajabu, sio tu kwenye kuzaliana bali kumutate na kushambulia sehemu zote muhimu za mwili, maini, figo,damu moyo, mapafu, ngozi kwa speed ya ajabu, Mara nyingi hawa wagonjwa hawachukui muda kufariki ni bora wasingeanza dawa, it is non stopable battle of new serocovergence.

Kibaya zaidi, mbali ya virulence potential ya hawa virus wa hawa wagonjwa kuwa kubwa bali infectivity potential yao ni balaa, hapo nyuma uliweza kujamiiana na mtu wa HIV mara zaidi ya 10 bila maambukizi kwa sababu alikuwa yuko kwenye tiba (undetectable viral load); viral load yake ilikuwa very low, na infectivity power ya virus ilikuwa almost negligible.Sasa tutegemee infection rate (incidence) ya HIV kupanda zaidi ya mara 50, unategemea nini kuhusu maambukizi mapya;kumbuka jamii yetu tunaendelea kula bata bila kinga kama kawa, hatujui hawa watu wako kwenye seroconvergence tena wengi wao wamenawili kuliko sisi kajamba nani kutokana na protein za kwenye dawa hizo. Nakuambia hatujawahi kuencounter kitu kama hiki tangia ugonjwa wa HIV ugundulike.

Kumbuka tulijishahau mpaka ikafika sehemu tukaona ukijipaka mafuta ya nazi ni kinga tosha ,hakuna haja ya condom, na kwa sababu watu walikuwa hawahambukizwi hata wakigundua wametumia mafuta ya nazi kwa HIV patients tukaconclude huhusiano (association) ya protective effect ya mafuta ya nazi na kuambukizwa HIV.tukaona mafuta ni kinga bora;sasa jichanganye kwaseroconvergence patient ndipo utakiona cha mtema kuni,hata ukijimwagia kachupa kazima, yale majimaji yake tu (fluids na serum) yanakuwa na virus mamilioni, Hatukujua ni kwa sababu ya depreeved HIV Viral load baada ya dawa na si mafuta. Hapo sijahusisha Madenda zembe tuliyokuwa tukipigana, sasa oral na oesophagial candidiasis zitakuwa kibao, madonda ya mdomoni kibao, ole wako, ukiingiza ulimi tu....tayari. Yaani ni hatari.

Sasa cha ajabu watunga sera wanasubili disaster itokee, vifo vipangane mahospitalini , new infection rate ifikie zaidi ya 30 % ina maana ratio iwe 1.3 kati ya wagonjwa na wazima, it will be too late my friend na ndipo tushtuke, nakuambia itakua too late. Juzi nilikuwa najiuliza hivi hawa wazungu walipangakwa makusudi yaani "tuwadekeze kwa dawa za bure hawa waafrika, then tu- stop ghafla bila wao kujiandaa, wapukutike na kuambukizana kwa kasi ya ajabu ,hapo tutakuwa tumefikia lengo letu la depopulizing afrika" . Kama ndivyo ilivyokuwa basi watakuwa wamefanikiwa kwa asilima zaidi ya 110%. Na kwa sababu sisi tunaendekeza ngono sana sana tena sana sana na hatuko serious kenye kujikinga na hatujui kuchukua hatua haraka za kulinda jamii yetu, mfano si unaona mpaka sasa ni hatua gani imechukuliwa zaidi ya maneno ya kisiasa.

Nilitegemea nini sasa kwa watunga sera wetu kwenye hili Janga la kitaifa?

1) Kwanza wangefunds na kutoa new emergence strategic plan ya upatikanaji wa dawa na vipimo vya HIV/AIDS kwa uhakika na urahisi kwa wagonjwa wote.

2) Pili nilitegemea wangefund na kutoa new emergence strategic plans za uwezeshaji wa upimaji wa HIV/AIDS kwa uhakika na uharaka.

3) Tatu, tena muhimu zaidi nilitegemea kwa sababu tajwa paragrahy ya 1 na 2 hapo juu kuhusu uwezekano wa maambukizi mapya ya kasi ya umeme tulitegemea watenge fedha na kutengeneza new emergence HIV/AIDS health education , health promotion and prevention strategic plan ambayo iko tailored to the emerging situation

Kwangu mimi hii ya emergence HIV/AIDS health education ,health promotion and prevention strategic plan ambayo iko tailored to the emerging unique situation should be the first priority na ingeanza kuanzia January 2025,it is an emergence because it touches the corner stone of public health initiaves (emergence preparedness & prevention ). Kwa nini nasema hivyo? nitakueleza? kaa mkao wa kula tu husiwe mbishi, kwani humu jamii forum kila mtu ana PhD ya kila fani, mimi sielewagi comments zetu, kumbuka hii ni sayansi ya public health & health management. Jamani situation tunayoenda kukabiliana nayo hahijawahi kutokea duniani kote ,watu wengi , nchi nyingi kustop ghafla dawa za HIV/AIDS (mass stoppage of medication) na kusababisha mass viral load multiplication, viral mutation na infectivity rate (incidence) kuongezeka. Hii inahitaji another approaches of health education and health promotion ikitarget hizo arms tatu unique zinazotokea baada ya mtu kuacha dawa. It should not be business as usual.

Itabidi turudi kwenye drawing board, tuache mipango ya ku-copy and ku-paste kwani hii ni unique situation has never happened in the past kwenye upande wa HIV/AIDS. Turudi kule kama mwanzo kutumia multiple media (news letters, radios, TVs, community dilogies, targeted health education mostly to patients themselves na hawa ni muhimu kwani ndio yatakuwa mabomb ya kulipulia watu. SOCIAL BEHAVIOUR CHANGES approaches targetting ku-raise community education and awareness, hasa ya nini kimetokea na kinachotokea, nini kifanyike wakati wa sex na mtu aliyeacha dawa, nini kifanyike kwa aliyeacha dawa, nini kifanyike ukijikuta umejichanganya na mtu aliyeacha dawa, ni vitu gani muhimu vya kuzingatia wakati unadeal na hawa watu walioacha dawa. Lakini provision ya public assurance, serikali yao inafanya nini kukabiliana na hili janga ili kutoleta mshtuko wa kijamii, ni bora upate mshtuko wa mtu mmoja mmoja na si mshtuko wa jamii.hiyo ni hatari. Je wewe unasemaje kuhusu hatari iliyo mbele yetu.toa maoni yako.....
Umeongea points sema umeweka na hofu elewa cha kuogopa ni hofu yenyewe. Ivi unaonaje tukakomaa na ulaji wa vyakula ambavyo vinapelekea body 7.36 ph maintenance, navyojua hakuna ugonjwa unao savaivu kwenye alkaline media , check wakati wa korona vyakula vyote vilikuwa alkaline media based maintainance,
How do you think about this.
 
Back
Top Bottom