Bakari Mohamedi
Member
- Aug 30, 2014
- 67
- 17
Taarifa rasmi zilizotufikia zinasema kuwa Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Geita Vicky kamata yuko nchini Italy akila bata. Ikunbukwe kua kwa sasa vikao vya Bunge la J.M.T linaendelea mjini Dodoma.
Taarifa hizo zenye ushahidi zinaeleza kuwa Vicky Kamata ameonekana maeneo mbalinbali ya jiji la Rome Italy akila bata katika mahotel makubwa.
Mbona nimeona kuna ka mbwa tu hapo chini, au ndo bata mwenyewe?
Atajijua mwenyewe 2015 si mwakani.?
Vicky kwasasa anakula bata nchini italy bila kujali vikao vya Bunge vinavyoendelea mjini Dodoma
Update ni kwamba ameishafika US kumuhudumia mkuu wa kaya ambaye ameenda uko kupumzika kwa mwezi mmja.