Wakati vikao vya bunge vikiendelea Mh. Vicky Kamata yuko nje anakula bata

Wakati vikao vya bunge vikiendelea Mh. Vicky Kamata yuko nje anakula bata

Joined
Aug 30, 2014
Posts
67
Reaction score
17
Vicky kwasasa anakula bata nchini italy bila kujali vikao vya Bunge vinavyoendelea mjini Dodoma
 
Attachments

  • 1415529456334.jpg
    1415529456334.jpg
    101.1 KB · Views: 5,871
Taarifa rasmi zilizotufikia zinasema kuwa Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Geita Vicky kamata yuko nchini Italy akila bata. Ikunbukwe kua kwa sasa vikao vya Bunge la J.M.T linaendelea mjini Dodoma.
Taarifa hizo zenye ushahidi zinaeleza kuwa Vicky Kamata ameonekana maeneo mbalinbali ya jiji la Rome Italy akila bata katika mahotel makubwa.
Kamera zilimnasa Vicky akijivinjari na kujichanganya na watu wa mataifa mbalimbali katika sehemu A kitalii kumbi mbalimbali na mahotel makubwa.
 
Attachments

  • 1415530465732.jpg
    1415530465732.jpg
    101.6 KB · Views: 2,485
Kama usingekuwa mzushi na mchonganishi ungeulizia ofisi za bunge iwapo Mheshimiwa Vicky ana ruhusa ya bunge ya kutokuhudhuria vikao...Lakini kwa kuwa una chuki binafsi na mheshimiwa Vicky umeamua kumzushia ati anakula bata....kwa fedha zako labda????
Taarifa rasmi zilizotufikia zinasema kuwa Mbunge wa Viti maalum mkoa wa Geita Vicky kamata yuko nchini Italy akila bata. Ikunbukwe kua kwa sasa vikao vya Bunge la J.M.T linaendelea mjini Dodoma.
Taarifa hizo zenye ushahidi zinaeleza kuwa Vicky Kamata ameonekana maeneo mbalinbali ya jiji la Rome Italy akila bata katika mahotel makubwa.
 
Mbona nimeona kuna ka mbwa tu hapo chini, au ndo bata mwenyewe?
 
Kwani hata angekuwepo si angeishia kulazimishwa tu kupiga meza! bora ajipumzishe huko bwana, na mikono yake inachoka ati, utampa dawa ya kuondoa sugu kwenye mikono...
 
Back
Top Bottom