Labda anazalisha wajawazito huko chumbani..KY iliyoonekana kwenye chumba cha slowslow ya kazi gani?
AtakomaImeandikwa unapokuwa na Warumi (Waroma), ishi na endana na tabia za Warumi.
Lakini pia imesemwa yeye apendaye amani wakati wa vita basi dalili zi wazi kuwa atakufa au kujeruhiwa mapema.
Kuna wale ambao leo wamebatizwa jina la "wahuni" ambao pengine hawakuwa wakionekana kuwa "wahuni" wakati wa BABA.
Kuna watu wanalalamika kufanyiwa "uhuni" wakati huu ambao pengine wao ndio walikuwa vinara wa kufanya "uhuni" kwa wengine wakati uliopita.
Swali ni je "Wahuni" wa "Wakati wa Baba" ni "Wahuni" walewale wa "Wakati wa Mama" ?
Je? Wahuni ni wale waliokuwa wanatembelea VI-EITE (V80) kama asemavyo SLOSLO au bado wanatembelea VI-EITE (V80),
Yote kwa yote wahuni sio watu wazuri masela, tulinde nyumba zetu wahuni wasije wakapita na TV zetu.
View attachment 2042975
Huyu Polepole ni mbinafsi sana hana unyenyekevu ndani ya nafsi yake. Maisha yanapangwa na Mungu binadamu kajawa na kiburi lakini hawezi kuumba hata unywele mmoja tu wa mwilini mwake.Imeandikwa unapokuwa na Warumi (Waroma), ishi na endana na tabia za Warumi.
Lakini pia imesemwa yeye apendaye amani wakati wa vita basi dalili zi wazi kuwa atakufa au kujeruhiwa mapema.
Kuna wale ambao leo wamebatizwa jina la "wahuni" ambao pengine hawakuwa wakionekana kuwa "wahuni" wakati wa BABA.
Kuna watu wanalalamika kufanyiwa "uhuni" wakati huu ambao pengine wao ndio walikuwa vinara wa kufanya "uhuni" kwa wengine wakati uliopita.
Swali ni je "Wahuni" wa "Wakati wa Baba" ni "Wahuni" walewale wa "Wakati wa Mama" ?
Je? Wahuni ni wale waliokuwa wanatembelea VI-EITE (V80) kama asemavyo SLOSLO au bado wanatembelea VI-EITE (V80),
Yote kwa yote wahuni sio watu wazuri masela, tulinde nyumba zetu wahuni wasije wakapita na TV zetu.
View attachment 2042975
KY iliyoonekana kwenye chumba cha slowslow ya kazi gani?