Heloo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 4,391
- 3,404
UwiiiiiKero kubwa huwa kabla ya tendo, kuliko kwenye tendo lenyewe. Kuna mizinga ya hela, mizinga ya njaa, mizinga ya vinywaji mara kabla tu ya tendo.
Halafu unakuta mdada anakuja ghetto na anajua appointment inahusu nini. Ila akifika anakaa sitting room kama vile yupo "CLINIC" kwenye mstari, anasubiri Nurse aje amwambia "HAYA ANAEFUATA AINGIE CHUMBANI".
Mdada ukifika ghetto ingia chumbani moja kwa moja, halafu fanya kilichokuleta story baadae.