Wakati wa kufurahi tufurahi pamoja; Kundi la Ghetto Kids la Uganda laweka HISTORIA na Golden Buzzer kwenye British's Got Talent

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Kundi la Ghetto Kids la Uganda laweka HISTORIA na Golden Buzzer kwenye British's Got Talent: Britain’s Got Talent ilirejea kwa msimu wake wa 16 siku ya Jumamosi ambapo kundi la densi la Uganda - GhettoKids - lilipata tuzo ya Golden Buzzer.

BritainsGotTalent ni shindano la vipaji linaloonyeshwa kwenye televisheni nchini wingereza ambapo watu binafsi au vikundi huonyesha vipaji mbalimbali kama vile kuimba, kucheza, uchawi, vichekesho na zaidi. Maranyingi onyesho hutunikiwa Golden Buzzer mwishoni mwa usaili, na kupata nafasi ya kushiriki nusu fainali.

Jaji wa Italia Bruno Tonioli, aligonga Golden Buzzer katikati ya onyesho la Ghetto Kids.

"Lazima niifanye sasa," Tonioli alisema kabla ya kupiga kelele.

Watoto hao, walio na umri wa miaka mitano hadi 13, walicheza nyimbo mbalimbali ambazo zilifurahisha umati, kiasi kwamba Tonioli, hakuweza kungoja hadi mwisho mwa usaili wao, jambo ambalo halijawahi kufanywa hata mara moja.

Ghetto Kids wamepata umahiri wa kimataifa kwa ustadi wao wa kucheza na wametumbuiza hadhira mbalimbali, akiwemo mwimbaji Eddy Kenzo na rapa wa Marekani French Montana. Pia wametumia jukwaa lao kuhamasisha kuhusu umaskini na changamoto zinazowakabili watoto wanaoishi katika vitongoji duni.

Pia wametumbuiza katika matukio mbalimbali duniani, ikiwa ni pamoja na Tuzo za BET na Tuzo za Chaguo za Watoto za Nickelodeon.
 
Safi sana kwao👏🏻👏🏻👏🏻. It is amazing. Sijawahi pinga ubora wa hawa watoto toka nimeanza kuona ushiriki wao kwenye hizi vitu.
Hongera ziende kwa eddie kenzo. Kaibeba sana uganda na hawa vijana.
 
Kundi la Ghetto Kids la Uganda laweka HISTORIA na Golden Buzzer kwenye British's Got Talent: Britain’s Got Talent ilirejea kwa msimu wake wa 16 siku ya Jumamosi ambapo kundi la densi la Uganda - GhettoKids - lilipata tuzo ya Golden Buzzer.

View attachment 2591136

BritainsGotTalent ni shindano la vipaji linaloonyeshwa kwenye televisheni nchini wingereza ambapo watu binafsi au vikundi huonyesha vipaji mbalimbali kama vile kuimba, kucheza, uchawi, vichekesho na zaidi. Maranyingi onyesho hutunikiwa Golden Buzzer mwishoni mwa usaili, na kupata nafasi ya kushiriki nusu fainali.

Jaji wa Italia Bruno Tonioli, aligonga Golden Buzzer katikati ya onyesho la Ghetto Kids.

"Lazima niifanye sasa," Tonioli alisema kabla ya kupiga kelele.

Watoto hao, walio na umri wa miaka mitano hadi 13, walicheza nyimbo mbalimbali ambazo zilifurahisha umati, kiasi kwamba Tonioli, hakuweza kungoja hadi mwisho mwa usaili wao, jambo ambalo halijawahi kufanywa hata mara moja.

Ghetto Kids wamepata umahiri wa kimataifa kwa ustadi wao wa kucheza na wametumbuiza hadhira mbalimbali, akiwemo mwimbaji Eddy Kenzo na rapa wa Marekani French Montana. Pia wametumia jukwaa lao kuhamasisha kuhusu umaskini na changamoto zinazowakabili watoto wanaoishi katika vitongoji duni.

Pia wametumbuiza katika matukio mbalimbali duniani, ikiwa ni pamoja na Tuzo za BET na Tuzo za Chaguo za Watoto za Nickelodeon.
Hawa french montana aliimba nao unforgettable
 
Very creative and talented 🥰🥰
 
Back
Top Bottom