GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Nimetafakari tu maneno ya Gwajima ila nimeamua kukaa kimya kwani leo ni siku ambayo nimewakumbuka. Marine Hassan, Mama Lwakatare, Balozi Mahiga, Joseph Kambangwa, Benard Lowasa, Maalim Seif, Venance Kusekwa, Richard Ndasa, Mr. Shaban (mhasibu ofisi ya M/mkoa Dar), NK.... Korona haipo ni uzushi wa wazungu mbona wakati wa magufuli hakuna aliyekufa?
Pia nakumbuka maneno kama "Ni kawaida mwanadamu kuugua vimafua mafua hivi!" Tuliambiwa vimafua mafua hivi hamtumii akili?
Pia nakumbuka maneno kama "Ni kawaida mwanadamu kuugua vimafua mafua hivi!" Tuliambiwa vimafua mafua hivi hamtumii akili?