hujui unachoongea mkuu,sijui kama unaishi dar ama wapi.
kinachofanya maji yafurike dsm wakati jiji lililoko mlango wa bahari ungekijua,ungeelewa ni kwanini watu wameachana na hilo wazo.
maji ya mvua dsm yanatoka juu pembezoni yanakuja dsm city cetre ili kuingia baharini,yakikuta bahari imesogea yanaingia bila shidayakikuta bahari iko kawaida yanarudishwa,hapo ndipo shida inapoanza.
kwa aina hiyo ya mafuriko haihitaji tu uwekezaji bali kuhamisha jiji kabisa kuyapisha maji.hapo ndipo tutakuwa tumeyaweza mafuriko na kuwaridhisha wana chadema.