Wakati wa Ramadhan na Kwaresma watu wanaongezeka au wanapungua uzito?

Siyo moja kwa moja. Kufunga tunajinyima starehe ikiwemo kula, kunywa, sherehe na zingine. Kupungua ni kiashiria kwamba kweli tulijinyima.
Kunenepa inategemea na chakula kinachoingia mwilini. Mmoja anaweza akawa anakula mara nyingi lakini vyakula vya protin ambavyo havinenepeshi kivile. Mwingine anakula kidogo lakini vyakula vya mafuta ambavyo vinanenepesha kwa kasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…