kwa hiyo na wewe wakili wa shetani unafunga? Mission yako inakuwa nini "kama wakili wa shetani" katika kufungaSiyo moja kwa moja. Kufunga tunajinyima starehe ikiwemo kula, kunywa, sherehe na zingine. Kupungua ni kiashiria kwamba kweli tulijinyima.
kwa hiyo na wewe wakili wa shetani unafunga? Mission yako inakuwa nini "kama wakili wa shetani" katika kufungaSiyo moja kwa moja. Kufunga tunajinyima starehe ikiwemo kula, kunywa, sherehe na zingine. Kupungua ni kiashiria kwamba kweli tulijinyima.
Baba angu yule sijamwambia 😂Kwani hujamwambia baba yako? Mliishia wapi na mkwe wangu? MENEMENE TEKERI NA PERESI
Niliingia mitini mkwe uniwie radhi niliona mwanao ni mzuri mno kwa sura yangu ,ukubwa wa tumbo langu na hulka yangu ya kupenda kesi zitaweza kudumu naye wataninyanganaya ma nice guy .Kwani hujamwambia baba yako? Mliishia wapi na mkwe wangu? MENEMENE TEKERI NA PERESI
Astghafirullah 😂😂🙌🙌Niliingia mitini mkwe uniwie radhi niliona mwanao ni mzuri mno kwa sura yangu ,ukubwa wa tumbo langu na hulka yangu ya kupenda kesi zitaweza kudumu naye wataninyanganaya ma nice guy .
Allahumma ighfir lanaAstghafirullah 😂😂🙌🙌
Wewe si ulisema ramadhan yote umefunga😂😂Niliingia mitini mkwe uniwie radhi niliona mwanao ni mzuri mno kwa sura yangu ,ukubwa wa tumbo langu na hulka yangu ya kupenda kesi zitaweza kudumu naye wataninyanganaya ma nice guy .
Najitahidi kuliondoa ila imeshindikana ,nimefunga na kesho Insh'Allah nitakuwa nafungua lakini halijaondoka hili ni donda sweet heartWewe si ulisema ramadhan yote umefunga😂😂
Wallah umeshinda njaa mwezi mzima
Na hilo tumbo lako kubwa😎
Hahaha sio tapeli we ongea naye vizuri tu mkwilima wangu hana baya😂Baba angu yule sijamwambia 😂
Baba wa kambo nae ananitembezea like tu 😂
Huyu mwingine nahisi ni tapeli😂😂
Hatujafika popote
Hakuna tumbo la urithi darling ♥️Najitahidi kuliondoa ila imeshindikana ,nimefunga na kesho Insh'Allah nitakuwa nafungua lakini halijaondoka hili ni donda sweet heart
Binti kasharidhia wewe tajiri ndio unyooke tu binti ale eid kwa raha zote😅Niliingia mitini mkwe uniwie radhi niliona mwanao ni mzuri mno kwa sura yangu ,ukubwa wa tumbo langu na hulka yangu ya kupenda kesi zitaweza kudumu naye wataninyanganaya ma nice guy .
Amenikana live mbele ya umati wa JFHahaha sio tapeli we ongea naye vizuri tu mkwilima wangu hana baya😂
Heka heka zipo ,ujue mimi nishapewa mpaka style ya sungunyo na nilipamana nikajitahidi dakika kumi na tano lakini bado halijapungua .Hakuna tumbo la urithi darling ♥️
Njoo nikupe hekaheka litaisha😉
Kwa sababu style zote umemaliza sina namna nikuache hakuna jipya nitakupa 🥹💔Heka heka zipo ,ujue mimi nishapewa mpaka style ya sungunyo na nilipamana nikajitahidi dakika kumi na tano lakini bado halijapungua .
Je wewe ni style ipi mpya unayohisi itanitoa hili donda?
Maneno mazuri mama mkwe ila sasa nitawezana mimi kweli?Binti kasharidhia wewe tajiri ndio unyooke tu binti ale eid kwa raha zote😅
Jamani huyuu🤦🏽♀️Polee dotaAmenikana live mbele ya umati wa JF
Mom my heart is broken 💔 😢
Hujajaribu tayari unasema hutaweza, hebu jikaze🫴🏾😆Maneno mazuri mama mkwe ila sasa nitawezana mimi kweli?
Huyu mkwe wako anayajua mengi mamy 🙌Hujajaribu tayari unasema hutaweza, hebu jikaze🫴🏾😆