Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilishasema kabl mradi wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga kuwa mradi huo ni kuchezea fedha za maskini wa nchi hizi.Sina hakika kama pale Wizara ya viwanda na biashara kitengo cha Mipango na Maendeleo ya Biashara wanajua kinachoendelea duniani
Cha kushangaza Watanzania wenye mitaji Ndio wamejikita kufanya Biashara zilizopitwa na wakati
Hebu angalia Yadi za kuuza magari ya Petrol na Diesel zilivyojazana hadi vichochoroni kabisa Tandale huko ilhali Ulaya kwa mfano magari hayo yashapigwa Marufuku
Congo Vijana wao walizubaaga hivi hivi 🐼
Jumaa Karim 😄