Wakati Waarabu wanaachana na biashara ya Mafuta na kukamata Sekta ya Bandari sisi Tanzania Ndio tumejikita kuuza magari ya Petrol na Diesel!

Wakati Waarabu wanaachana na biashara ya Mafuta na kukamata Sekta ya Bandari sisi Tanzania Ndio tumejikita kuuza magari ya Petrol na Diesel!

Aliekwambia waarabu wanaachana na biashara ya mafuta ni nani?
 
Sina hakika kama pale Wizara ya viwanda na biashara kitengo cha Mipango na Maendeleo ya Biashara wanajua kinachoendelea duniani

Cha kushangaza Watanzania wenye mitaji Ndio wamejikita kufanya Biashara zilizopitwa na wakati

Hebu angalia Yadi za kuuza magari ya Petrol na Diesel zilivyojazana hadi vichochoroni kabisa Tandale huko ilhali Ulaya kwa mfano magari hayo yashapigwa Marufuku

Congo Vijana wao walizubaaga hivi hivi 🐼

Jumaa Karim 😄
Nilishasema kabl mradi wa bomba la mafuta kutoka Uganda hadi Tanga kuwa mradi huo ni kuchezea fedha za maskini wa nchi hizi.
 
Back
Top Bottom