Wakati wakipanga Mechi yao ya Kirafiki iwe tarehe 6 August, 2023 ili Kuihujumu 'Simba Day' Kocha wao kataka isiwe na Mashabiki

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote.

Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi Pomoni na tukauomba tena na hata Uwanja huo wa Chamazi ambao mtacheza na AS Vita Club na kuweka Screen Kubwa ambayo itawafanya Mashabiki wenu waache kuangalia Wachezaji wenu na wawe Wanaitizama Simba SC.
 
Ebu jipangeni mkamfurahie Queen Kiba huko umbumbuni, mengine ni mbwembwe tu...

Ndg, Rage ajengewe Mnara.
20230803_062323.jpg
 
Hii mbinu yao lazima itabuma tu,hakuna asiyependa kuangalia wakali wapya wa Msimbazi
Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote.

Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi Pomoni na tukauomba tena na hata Uwanja huo wa Chamazi ambao mtacheza na AS Vita Club na kuweka Screen Kubwa ambayo itawafanya Mashabiki wenu waache kuangalia Wachezaji wenu na wawe Wanaitizama Simba SC.
 
Ushatawaza mama utopolo HUWA hamtawazi.
Dogo utaweza kweli manake aliekutoa malinda ni haji manara sasa ujakutana na mkuyenge mduara huu unapiga pande kuu nne zote ukitoka hapo hata kulala huwezi mim sinaga utoto..Punguza kisebusebu oooh sisi wengine hatulingishiwi.
 
Hizi ndio siku zenu wanalunyasi, hizi ndizo siku za kujipa furaha. Furahini sana na kolo yeyote asisite kufurahi hii siku yao maana baada ya hapo hakuna furaha zaidi ya karaha.
 
Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote.

Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi Pomoni na tukauomba tena na hata Uwanja huo wa Chamazi ambao mtacheza na AS Vita Club na kuweka Screen Kubwa ambayo itawafanya Mashabiki wenu waache kuangalia Wachezaji wenu na wawe Wanaitizama Simba SC.
Wewe ni Kinyonga ndiyo ninavyokutafsiri. Juzi hapa ulisema uwanja hautojaa na ukauponda uongozi hadi basi leo tena umekuja na sifa kibao. Kweli unafurahisha
 
Back
Top Bottom