Wakati wakipanga Mechi yao ya Kirafiki iwe tarehe 6 August, 2023 ili Kuihujumu 'Simba Day' Kocha wao kataka isiwe na Mashabiki

Wakati wakipanga Mechi yao ya Kirafiki iwe tarehe 6 August, 2023 ili Kuihujumu 'Simba Day' Kocha wao kataka isiwe na Mashabiki

Wewe ni Kinyonga ndiyo ninavyokutafsiri. Juzi hapa ulisema uwanja hautojaa na ukauponda uongozi hadi basi leo tena umekuja na sifa kibao. Kweli unafurahisha
Huyo ni mnafiki,anaandika mada Kwa pande zote mbili,positive na negative,likitokea lolote aseme si mnaona nilishasema.....attention seeker huyo
 
Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote.

Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi Pomoni na tukauomba tena na hata Uwanja huo wa Chamazi ambao mtacheza na AS Vita Club na kuweka Screen Kubwa ambayo itawafanya Mashabiki wenu waache kuangalia Wachezaji wenu na wawe Wanaitizama Simba SC.
Yaan UTO huu mwaka watatubu.
TUpo nao toe to toe
 
Back
Top Bottom