Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni mnafiki,anaandika mada Kwa pande zote mbili,positive na negative,likitokea lolote aseme si mnaona nilishasema.....attention seeker huyoWewe ni Kinyonga ndiyo ninavyokutafsiri. Juzi hapa ulisema uwanja hautojaa na ukauponda uongozi hadi basi leo tena umekuja na sifa kibao. Kweli unafurahisha
Yaan UTO huu mwaka watatubu.Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote.
Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi Pomoni na tukauomba tena na hata Uwanja huo wa Chamazi ambao mtacheza na AS Vita Club na kuweka Screen Kubwa ambayo itawafanya Mashabiki wenu waache kuangalia Wachezaji wenu na wawe Wanaitizama Simba SC.