GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ebu jipangeni mkamfurahie Queen Kiba huko umbumbuni, mengine ni mbwembwe tu...Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote.
Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi Pomoni na tukauomba tena na hata Uwanja huo wa Chamazi ambao mtacheza na AS Vita Club na kuweka Screen Kubwa ambayo itawafanya Mashabiki wenu waache kuangalia Wachezaji wenu na wawe Wanaitizama Simba SC.
Ni kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote.
Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi Pomoni na tukauomba tena na hata Uwanja huo wa Chamazi ambao mtacheza na AS Vita Club na kuweka Screen Kubwa ambayo itawafanya Mashabiki wenu waache kuangalia Wachezaji wenu na wawe Wanaitizama Simba SC.
Idiot.A useless mercenary...mara Yanga, mara Simba
Na pia ni Zee linalokutindua Unyabeni.Zee la kutapika ila linajiona zee la nyeti na za moto moto town.
Unataka mkuyenge dogo utapigwa mkuyenge mzito Kama show za lucky dube Yani mpaka ukiwa una hema tu yanatoka Kama umekula mayai ya samaki mim sinaga mchezo..Na pia ni Zee linalokutindua Unyabeni.
Wewe dada unahangaikaMm ni YANGA ila simba mnajua figisu na propaganda
Sema wewe Ni Utopolo, au zuzu.Mm ni YANGA ila simba mnajua figisu na propaganda
Ushatawaza mama utopolo HUWA hamtawazi.Unataka mkuyenge dogo utapigwa mkuyenge mzito Kama show za lucky dube Yani mpaka ukiwa una hema tu yanatoka Kama umekula mayai ya samaki mim sinaga mchezo..
Dogo utaweza kweli manake aliekutoa malinda ni haji manara sasa ujakutana na mkuyenge mduara huu unapiga pande kuu nne zote ukitoka hapo hata kulala huwezi mim sinaga utoto..Punguza kisebusebu oooh sisi wengine hatulingishiwi.Ushatawaza mama utopolo HUWA hamtawazi.
Mbona Diamond hukusema?Au yeye ni useful mercenary?Au ni double standard?A useless mercenary...mara Yanga, mara Simba
Wewe ni Kinyonga ndiyo ninavyokutafsiri. Juzi hapa ulisema uwanja hautojaa na ukauponda uongozi hadi basi leo tena umekuja na sifa kibao. Kweli unafurahishaNi kweli nakiri kuwa Simba SC tunaongoza kwa Uchawi East Africa ila kuna Timu inaongoza kwa Roho Mbaya, Unafiki na Wivu duniani kote.
Na taarifa iwafikie kuwa hadi sasa Tiketi zote za Tsh 5,000/ zimejsha na Nyomi la Watu 60,000 litakuwepo na upo Uwezekano hata Uwanja wa Uhuru nao ukajaa hadi Pomoni na tukauomba tena na hata Uwanja huo wa Chamazi ambao mtacheza na AS Vita Club na kuweka Screen Kubwa ambayo itawafanya Mashabiki wenu waache kuangalia Wachezaji wenu na wawe Wanaitizama Simba SC.
Huyu kiumbe anatambulika humu jukwaani kama Popoma. Yaani atakavyoamka siku hiyo, basi ndiyo hivyo hivyo. Unatakiwa umzoee.A useless mercenary...mara Yanga, mara Simba