GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ufuatao ni Mchanganuo wa Alama wa kwanini Msimu ujao katika Michuano ya Kimataifa Tanzania inaingiza takribani Timu Nne.
Simba SC imechangia Alama (Points) 24 kutokana na Kushiriki Kwake na Kufanya vyema kwa Kujitahidi Kufika hadi Robo Fainali kwa miaka Miwili.
Namungo FC imechangia Alama (Points) 2.5 kutokana na Ushiriki wake na Mafanikio iliyopata kwa Kufika Makundi Kombe la Shirikisho mwaka huu.
Yanga SC imechangia Alama (Points) 0.5 tu kutokana na Kubahatisha Kushiriki na kupata Mafanikio (Matokeo) mabovu katika Michuano ya Klabu Bingwa Afrika Msimu wa mwaka 2016.
Chanzo: EFM Sports Headquarters.
Si tu kwamba ni Jambo la Kishamba (Kimbwiga) bali pia ni Jambo la Ia Kipumbavu (Kipopoma) Kushangilia Kuanguka (Kutokufuzu) kwa Mtu wakati kumbe huyo huyo 'unayembeza' na 'kumdharau' ndiyo anakubeba kwa ' Mbeleko ' ya Mafanikio yake makubwa Msimu ujao wa Mashindanoni ya Kimataifa.
Leo GENTAMYCINE nimeamini kuwa ni kweli Siku zote Furaha ya Masikini ni ama Kuona au Kusikia Tajiri amekufa au amefilisika au amepatwa na balaa au anachafuliwa na Watesi wake (Maadui zake) akisahau kuwa huenda angekuwa anamuombea Mema Tajiri basi Roho Mtakatifu angemshukia Tajiri na Yeye (Masikini) Kusaidiwa nae na hatimaye Ufukara wake kuwa Historia katika Maisha yake.
Mtu unazidiwa Alama (Points) hata na Namungo FC tu aliyechangia zake 2.5 na Wewe uliyechangia ' Uchafu ' wako wa Alama (Points) 0.5 ndiyo Kutwa unapiga Mikelele na Kushangilia Simba SC kuishia Robo Fainali ya CAF kwa kutolewa kwa ' aggregate ' ya 4 - 3.
Masikini wana (tuna) taabu sana Duniani na ndiyo Shida, Nuksi na Mabalaa hazikai mbali nasi na 24 / 7 Mafanikio tunayasikia (na tutaendelea kuyasikia) tu kwa 'aliyebarikiwa' Simba Sports Club hadi mnune, mpasuke na ikiwezekana mfe tu kabisa Kudadadeki zenu.