Wakati Wanaojitambua Ghana wanarudisha Raia wao kutoka Ukraine na Urusi, wale Wasiojitambua wako busy Kushangilia Bendera yao Dubai

Wakati Wanaojitambua Ghana wanarudisha Raia wao kutoka Ukraine na Urusi, wale Wasiojitambua wako busy Kushangilia Bendera yao Dubai

Sishangai sana kwani hata katika Ustaarabu Kihistoria barani Afrika ulianzia hasa nchini Ghana.

Sishangai mno kwani hata Siasa bora na Demokrasia iliyokomaa Barani Afrika ilianzia nchini Ghana wengine wakaiga.

Vile vile sishangai zaidi kwani hata Wasoni wengi na Watu Wetevu (Intelligent) Barani Afrika wako nchini Ghana.

Hatimaye leo hi Taifa la Ghana limethibjtisha kuwa halina Upuuzi, Siasa, maneno mengi na Ushamba kwa kuwa Taifa la Kwanza Barani Afrika lililothubutu na kufanikiwa Kuwarudisha Raia wake kutoka nchi Mbili zenye Mzozo wa Kivita za Ukraine na Urusi (Russia)

Mataifa mengine wakati Raia wao wakiwa Wanateseka, Wanabaguliwa na Kuhangaika sana Viongozi wao Waandamizi na Raia wao tokea Juzi, Jana na Leo wako busy Kushangilia na Kujisifu kwa Bendera yao Kupandishwa Dubai (Jengo refu Duniani) na muda wote Wanahimizana tu Kujimwambafai Mitandaoni na Redioni bila kusahau hata Runingani.

Natamani sana atokee tena Kiongozi mwingine (nchi Kubwa na Matajiri) huko Ulaya, Marekani, Mashariki ya Kati na hata Asia kama ambavyo aliwahi kufanya aliyekuwa Rais wa Marekani Mtukutu Mwerevu na Tajiri Donald Trump atunange Waafrika (tena wa nchi fulani moja hivi na Bibi Bomba wao) kuwa hatujitambui, hatujui Kufikiri, Washamba na tunachojua ni Kungonoka, Kuzaana, Uchawi, Majungu, Wivu na kulewa Pombe na Gongo.

Yaani Bendera imewekwa (tena kwa Kunakshiwa Kiteknolojia) na Waarabu waliotuzidi Akili kwa Shinkizo la Bibi Bomba na Pesa ya Ganji aliyowapa ili tumsifu Kiutendaji huku walioweka hiyo Bendera wskihakikishiwa kwenda Kuinyonya nchi kwa Mgongo aa Uwekezaji na percent fulani wanampa Bibi Bomba akawekeze Babarini Kwao Watu wanashangilia.

Taifa likikosa Critical Thinkers ni Hatari.
GENTAMYCINE

Hapo umesema ukweli bila chenga,lakini kwa sababu nchi hii ni ya mlengo wa kisiasa na unafiki.
Ni vigumu kwa wote kukuelewa!

Wakati haya yote yanatokea ikumbukwe kwamba kuna ndege za ATCL zimepaki,tena mpya kwa kukosa Route.

Wakati haya yote yanaendelea tunao watalii wapatao 900 kutoka Ukraine [emoji1255] ,ambao wamekwama Visiwani Zanzibar kwa kukosa usafiri wa kuwarudisha Ukraine [emoji1255] shauri ya hiyo vita.

Wakati watoto wetu wamekwama huko Ukraine [emoji1255] na Poland [emoji1200].
Serikali makini ingefanya utaratibu maalumu kwa kushirikiana na Ukraine [emoji1255] kwa kupitia ubalozi wao ulioko nchini
Kenya [emoji1139] .

Ili washirikiane na Tanzania [emoji1241] itowe ndege ya kuwasafirisha hao wa Ukraine [emoji1255] 900 walioko Zanzibar na kuwapeleka hadi nchi jirani ya Poland [emoji1200].

Kisha ndege hiyo hiyo pia itumike kuwabeba watanzania watakaokuwa wamevuka mpaka na kuingia Poland [emoji1200].
Wakiwemo pia hata raia wengine wa Afrika Mashariki.

Tunao ubalozi wetu uko pale
Sweden [emoji1236],na ndio unaotuwakilisha pia huko Ukraine [emoji1255] hivyo balozi wetu huko angetumika kuhakikisha anafanya jitihada za Watanzania kufanikiwa kuvuka mpaka na kuingia Poland [emoji1200].

Ili iwe rahisi wao kuchukuliwa kutokea pale.

Sasa hapo humsikii waziri husika akiongelea kufanya lolote zaidi ya wote kurundikana Dubai wakiishangilia picha ya mama na bendera.

Hatuko serious...
Tunacheka yale tuliostahili kulia...

Na
Tunalia yale tuliostahili kucheka.....
 
Sisi ndiyo tuliwapeleka huko.

Kila mtu apambane na mambo yake.

Kwani bei gani wao kufia huko..au wapambane kivita kwa kujiunga na jeshi la urusi.

Kufia ulaya ni bora kuliko kufia afrika tena Tanzania ya watu wajinga wajinga.

Acha wafie kwenye neema ya vita
Waafrika wengi kama sio wote waliopo Ukraine na jirani zake, wameenda huko kusoma kwa scholarship.
 
Tumenunua ndege kwa gharama kubwa..tunahofia isije ikatunguliwa.maana kwenda ukraine na kurudi ni kama kamari..watz walioko huko sio masikini wenzako! mpaka mtu anaamua kuchukua option ya kusomea nje ni jeuri ya hela.
Wengi wao wapo kwa scholarship, hawana utajiri wowote. Usichanganye na wanaosoma US, UK ,France na Scandinavia
 
Viongozi wengi wa africa hawana utamaduni wa kupenda raia wake.. Hii ndio shida kubwa ya viongozi wengi wa africa....

Mfano mama katoka tanzania kwenda ufaransa kaenda tena belgium.. Baadae karudi tena kakaa siku 3 kaenda dubai.. Safari zote hzo ni ndege..

Lakin ilishindwa kutoa ndege yake hata moja kufuata raia wake ukraine kabla ya vuguvugu..

Africa tuna matatizo mengi sana sisi wenywe kabla hatujawasingizia wazungu na waarabu..
 
Upo sahihi sana, nakuelewa sana, na sio kwenye hili jambo tu, kwenye mambo kibao, ndio maana tuna dharaulika sana dunia,
 
Upo sahihi sana, nakuelewa sana, na sio kwenye hili jambo tu, kwenye mambo kibao, ndio maana tuna dharaulika sana dunia,
Yaan hup ni ukwel... Toka kipind cha corona kule china...

Viongoz wa kiafrica wanakemea ubaguzi wa rangi.. Na kipind hko hko na wao wanabagua watu wao..

Africa bado hatuja staarabika kbsa
 
Sishangai sana kwani hata katika Ustaarabu Kihistoria barani Afrika ulianzia hasa nchini Ghana.

Sishangai mno kwani hata Siasa bora na Demokrasia iliyokomaa Barani Afrika ilianzia nchini Ghana wengine wakaiga.

Vile vile sishangai zaidi kwani hata Wasoni wengi na Watu Wetevu (Intelligent) Barani Afrika wako nchini Ghana.

Hatimaye leo hi Taifa la Ghana limethibjtisha kuwa halina Upuuzi, Siasa, maneno mengi na Ushamba kwa kuwa Taifa la Kwanza Barani Afrika lililothubutu na kufanikiwa Kuwarudisha Raia wake kutoka nchi Mbili zenye Mzozo wa Kivita za Ukraine na Urusi (Russia)

Mataifa mengine wakati Raia wao wakiwa Wanateseka, Wanabaguliwa na Kuhangaika sana Viongozi wao Waandamizi na Raia wao tokea Juzi, Jana na Leo wako busy Kushangilia na Kujisifu kwa Bendera yao Kupandishwa Dubai (Jengo refu Duniani) na muda wote Wanahimizana tu Kujimwambafai Mitandaoni na Redioni bila kusahau hata Runingani.

Natamani sana atokee tena Kiongozi mwingine (nchi Kubwa na Matajiri) huko Ulaya, Marekani, Mashariki ya Kati na hata Asia kama ambavyo aliwahi kufanya aliyekuwa Rais wa Marekani Mtukutu Mwerevu na Tajiri Donald Trump atunange Waafrika (tena wa nchi fulani moja hivi na Bibi Bomba wao) kuwa hatujitambui, hatujui Kufikiri, Washamba na tunachojua ni Kungonoka, Kuzaana, Uchawi, Majungu, Wivu na kulewa Pombe na Gongo.

Yaani Bendera imewekwa (tena kwa Kunakshiwa Kiteknolojia) na Waarabu waliotuzidi Akili kwa Shinkizo la Bibi Bomba na Pesa ya Ganji aliyowapa ili tumsifu Kiutendaji huku walioweka hiyo Bendera wskihakikishiwa kwenda Kuinyonya nchi kwa Mgongo aa Uwekezaji na percent fulani wanampa Bibi Bomba akawekeze Babarini Kwao Watu wanashangilia.

Taifa likikosa Critical Thinkers ni Hatari.
Ndege zingekuwa zinaruhusiwa kutua Kiev nina uhakika mpaka muda huu watanzania wote wangekuwa wamekwisha kuondoka.

Yanayotokea Ukraine ni tofauti kabisa na yanayotokea Dubai. Ndege ipo Poland wanafunzi wameambiwa wafanye wawezalo wafike hapo ili iwachukue na waweze kurudi nyumbani.

Kukosoa ni kazi nyepesi sana, kila mtu anaiweza.
 
Umeongea jambo kubwa sana, ila nataka kukupa challenge uende deep zaidi uone jinsi watu weupe wanavyotuchukulia in a holistic way,

Kuna hii study ni very controversial ila katika vitu ambavyo Lynn amesema na kilinifanya nijiulize sana hadi leo ni kwamba Sub Saharan Africa ipo nyuma kimaendeleo sababu ya kuwa na a significant level of low IQ people,

Unaweza soma hapo, pia unaweza tafuta hizi study uzipitie, mambo yetu mengi yana reflect hii kitu, and not saying or agreeing kila mwafrika Yuko hivi, ila our political system I guess Ina accommodate watu wengi wa aina hiyo ndio maana decisions nyingi zinashangaza sana. So nakubaliana na wewe suala la Ghana on their IQ level, hauwezi fikiri like a high IQ person wakati wewe una low level of IQ.

Kama ukiweza ifanyie analysis, sababu wengine mna vipawa vya kuandika, just make a reflective analysis kwenye maamuzi ya resources zetu jinsi tunavyotumia "akili zetu" either kuziendeleza au kuingia mikataba ya kizwazwa, angalia miaka 60 ya uhuru comparatively na nchi zingine Asia zilizopata uhuru kama sisi ,60s, utaandika kitu kinachoweza kutupa discussion nzuri sana, wanatuita tuko "retarded" ndio maana tuko hapa kimaendeleo na kimaamuzi, kwa ufupi ukisoma vitabu vya pyschology wanasema uwezo wako wa fikra unadhibitiwa na IQ yako, labda kuna ukweli kwenye hiyo study?
Usijidharau kwa kuamini huo upuuzi wa hizo study za wazungu. Kiasili wanajiona bora na wanaamini hivyo.

Wapo waafrika wengi tu wametoa mchango katika uvumbuzi wa vitu mbalimbali vinavyoifanya sayansi ikaheshimika, huwezi kuona mahali machapisho yenye kuhusu hayo waliyoyafanya.
 
Ndio maana nimesema angalia mambo in holistic way, wapo waafrika ma genius, ila swali la msingi linabaki kwann sisi ni masikini despite all the resources?
 
🐒🐒🐒
 
Ndege zingekuwa zinaruhusiwa kutua Kiev nina uhakika mpaka muda huu watanzania wote wangekuwa wamekwisha kuondoka.

Yanayotokea Ukraine ni tofauti kabisa na yanayotokea Dubai. Ndege ipo Poland wanafunzi wameambiwa wafanye wawezalo wafike hapo ili iwachukue na waweze kurudi nyumbani.

Kukosoa ni kazi nyepesi sana, kila mtu anaiweza.
Tuwekee hilo tamko la serikali la kuthibitisha uwepo wa ndege ya Tanzania [emoji1241] nchini Poland [emoji1200]
Ambayo inasubiri kuwasafirisha watanzania ila ikakuta hawapo.
 
Kama mleta mada ndiyo GT, na umetumia kiwango chako cha juu kabisa cha ugiligili wako mweupe kichwani kuandika hiki unachodhani ni fumbo, basi taifa lina ukame mkubwa wa watu wenye akili.

Ulichokiandika hapa kimejaa majungu, inda, chuki na uzandiki mtupu. Thibitisha!
Wewe dada huu mwaka hayo makalio yaatapungua
 
Kama mleta mada ndiyo GT, na umetumia kiwango chako cha juu kabisa cha ugiligili wako mweupe kichwani kuandika hiki unachodhani ni fumbo, basi taifa lina ukame mkubwa wa watu wenye akili.

Ulichokiandika hapa kimejaa majungu, inda, chuki na uzandiki mtupu. Thibitisha!

Kakosea wapi hebu dadavua
 
Kinachoendelaea katika balozi zetu hata kabla ya janga hili kinanipa mashaka na mifumo ya ulinzi ndani na nje,tunachojali kama taifa ni mapato as first priority.
kila idara ifanye kazi kwa ufanisi vinginevyo tutaumiza wengi kizembe...
 
Nimeona kinachoitwa taarifa ya ATCL ya kukanusha uvumi kuwa Kuna ndege ya shirika hilo inayoenda kuwachukua Watanzania waliokwama Ukraine. Taarifa hiyo imenikumbusha namna ndege ya shirika hilo ilivyochoma Mafuta kwenda Madagascar kubeba miti shamba ya COVID-19.
In fact, tuna safari ndefu.
 
Back
Top Bottom