njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Tulifanya maombi ya nguvu kuombea njaa Orlando pirates, Etoile du sahel zifeli na against all odds zikafeli mambo yakatarajiwa kwamba simba itaingia kwenye favour ya zile teams 10 kuanzia round ya kwanza
Mambo yameenda ndivyo sivyo tuaanzia round ya awali pamoja na waliostahili kuanzia round ya kwanza kama Horoya na zamalek
Inauma sana kuanzia level moja na vilaza kama wazee wa kinyesi kwenye chupi lakini embu tujaribu kujiweka kwenye viatu vya zamalek , hawa watu wanakutana na mambo ya ajabu sana msimu huu jameni
Kwenye ligi yao wanaburuza na ubingwa wanaenda kubeba ila kwenye list ya CAf wanapelekwa kama mshindi wa pili based on matokeo ya round ya kwanza ambayo ahly alikuwa anaongoza, mind you kuna uwezekano mkubwa wa ahly kumaliza wa tatu kwenye ligi lakini chama cha soka misri kimepeleka jina lake kama bingwa huko CAf
Zamalek kafungana points na mazembe ila mazembe kawa picked kwenye top 6 kwa kigezo cha kuvuna points nyingi za CAf msimu uliopita, huruma kwa zamalek kwa kweli
Nikadhani labda zimechukuliwa teams 6 kwa sababu kenya na zimbabwe zimefungiwa hivyo teams 4 zinapungua nikaona maajabu mengine kwenye teams za kuanzia round ya kwanza huko shirikisho ikiwemo azam na marumo gallants(bidvest witts?)
Nahisi nina mengi sana ya kujifunza kuhusu CAF na taratibu zao