Wakati wapiga kura jimboni kwake wakimkana mchana kweupe tena mbele ya rais, Job Ndugai kuburuzwa kortini June 3 2020

Wakati wapiga kura jimboni kwake wakimkana mchana kweupe tena mbele ya rais, Job Ndugai kuburuzwa kortini June 3 2020

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,203
Reaction score
23,027
Mtu kati.

Ni moja ya wiki stressful sana kwa Job Ndugai.

Wakati huko jimboni kwake Kongwa wapiga kura wake wakimkana mbele ya mwenyekiti wa chama chake Magufuli, huku kuna wananchi wengine wanamburuza kortini.

Kesi hii inatarajiwa kuanza kusikilizwa tarehe 3 June 2020 katika Mahakama Kuu kwa mujibu wa taarifa hii hapa chini.

Kuteswa (siyo kutesa mind you) kwa zamu..... unaweza kusema hivyo!

 
Uanze kuwakimbia Mkuu wamezidisha uhuni
wahuni waliokubuhu wamejaa CCM, ndiyo maana tunaojitambua tumeamua kukaa pembeni na ku watch chama kinavyosambaratishwa na vibaka!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom