BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kuna haja ya kumfungulia kesi pia kuhusu zile bilioni 28 alizochota hazina eti za matibabu bila idhini ya Bunge.
Mtu kati.
Ni moja ya wiki stressful sana kwa Job Ndugai.
Wakati huko jimboni kwake Kongwa wapiga kura wake wakimkana mbele ya mwenyekiti wa chama chake Magufuli, huku kuna wananchi wengine wanamburuza kortini.
Kesi hii inatarajiwa kuanza kusikilizwa tarehe 3 June 2020 katika Mahakama Kuu kwa mujibu wa taarifa hii hapa chini.
Kuteswa (siyo kutesa mind you) kwa zamu..... unaweza kusema hivyo!