Mtu kati.
Ni moja ya wiki stressful sana kwa Job Ndugai.
Wakati huko jimboni kwake Kongwa wapiga kura wake wakimkana mbele ya mwenyekiti wa chama chake Magufuli, huku kuna wananchi wengine wanamburuza kortini.
Kesi hii inatarajiwa kuanza kusikilizwa tarehe 3 June 2020 katika Mahakama Kuu kwa mujibu wa taarifa hii hapa chini.
Kuteswa (siyo kutesa mind you) kwa zamu..... unaweza kusema hivyo!
Kwani imefutika? He is rejected person
Anapenda kuji mwambafy sana wakati kila mtu anamjua kuwa ni dhaifuKuna haja ya kumfungulia kesi pia kuhusu zile bilioni 28 alizochota hazina eti za matibabu bila idhini ya Bunge.
Hiyo kesi imechelewa sana
oh yes.... tena fasta!
Kamanda hana lolote yuleUanze kuwakimbia Mkuu wamezidisha uhuni
Uanze kuwakimbia Mkuu wamezidisha uhuni
Kamanda hana lolote yule
Hili ni jukwaa huru Mkubwa....
Ina maana humu JF kila member ni aidha CCM ama CHADEMA, right?
Kama unadhani hivyo, nakuhakikishia kuwa, HAUKO SAHIHI kwa 1,500,000%....!!
Kuna watu tuko kinyume na serikali hii na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na John Pombe Magufuli mwenyewe lakini hutatukuta CHADEMA, ACT Wazalendo ama chama chote cha siasa....!!
Grow up mkubwa, acha kuishi ktk UTUMWA na VIFUNGO vya vyama vya siasa....
Penda nchi yako tu, baasi. Kuwa mzalendo wa nchi yako tu, baasi...
Serikali na vyama hivi vya siasa vitapita, lakini nchi yako ndiyo hii milele, haitapita.....haibadiliki...
Hata leo hii vyama vya siasa vyote vitakufa, nchi na watu wake wapo tu...
Hata ikitokea leo serikali ambayo kwa sasa inaongozwa na John Pombe, ikatokea imelewa POMBE, ikajikwaa na kufa....nchi ya Tanzania na watu wake, itakuwepo tu....!! Tutatafuta namna nyingine ya kujitawala na kuindesha nchi yetu, yet, maisha yakaendelea bila matatizo yoyote...!!
Hahah daah wafupi tunapata tabu saana,ila advantage tuliyonayo ni kwamba kutokana na ufupi wetu inakua ni rahisi kuinama kufika ardhini kwa hio tukiwa kwny ugomvi tuko fasta kuokota mawe kutoka ardhini so utakula mawe ya hatari hahah.Kajamaa kafupi kweli lol!!!!! Kumbe ndiyo sababu kanapenda KUJIMWAMBAFY
ππππ
Hahah daah wafupi tunapata tabu saana,ila advantage tuliyonayo ni kwamba kutokana na ufupi wetu inakua ni rahisi kuinama kufika ardhini kwa hio tukiwa kwny ugomvi tuko fasta kuokota mawe kutoka ardhini so utakula mawe ya hatari hahah.
Kwani Rais Magufuli ni wa siku nyingi sana? Itoshe kuwa amekataliwa na wananchi Magufuli akiwa Rais na yeye akiwa Spika.Chadema mtaacha lini unafiki?
Hiyo video ni ya siku nyingi sana