Wakati wapiga kura jimboni kwake wakimkana mchana kweupe tena mbele ya rais, Job Ndugai kuburuzwa kortini June 3 2020

Huyo mgogo wacha ashitakiwe, kwa kweli kiburi cha madaraka kimemzidi mno!
 
Kwamba pombe alafu nani alewe pombe mbona sijaelewa mkuu hiyo kauli yako ?[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna nadharia mbili hapa!kwanza 1,kesi hii itamuondolea uhalali wa kuteuliwa na chama kuwa mgombea!2:Atashinda kesi kutokana na nafasi yake na ateuliwe tena kuwa mgombe!!!chagua moja kati ya mawili hapo juu!!
 
Kamtendea mabaya Sana Lissu eti ajui halipo,wakati the same Mukono ajulikani alipo huku wananchi wake wakikosa uwakilishi the same as kwa Lissu still ajafukuzwa
 
Badala ya kuwawaza wapiga kura wake eti anawaza jinsi ya kumshughulikia Lissu anastuka miaka 5 hii hakuna hata choo alichojenga.
 
Wakati mwingine Mungu humshitaki mtu kwa kuwatumia wanadamu
Nadhani nyote hamjui kusoma aliyeshtakiwa ni Job Ndugai au ni Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tofautisha personality na Taasisi. Mnadanganyana.
 
Nadhani nyote hamjui kusoma aliyeshtakiwa ni Job Ndugai au ni Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tofautisha personality na Taasisi. Mnadanganyana.
Mtu mmoja anaweza akawa na majina mengi but hakumaanishi ni watu tofauti.Dr Mbunge Mchungaji mama lkn ni yuleyule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…