Wakati Wapinzani wa kule 'Zuzu Nation' wakimpitisha aliyeko kwa mwaka 2025 huko Kenya Odinga adai ameibiwa Kura 2022

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Nilipata Kura Milioni 8 na Ruto alipata Kura Milioni 5 cha Kushangaza Tume mbovu ya IEBC ikamtangaza Yeye kuwa Mshindi wa Urais nchini Kenya" amesema Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga.

Chanzo: Nipashe ya Radio One leo

Pole sana Mzee Odinga ila nikuambie tu wakati Wewe ukiwapigania Wakenya na kutafuta Haki yako Wenzako ( Wapinzani ) wa 'Zuzu Nation' wameshampitisha anayewaburuza kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 tena kuna Wengine walivyo Mazuzu wameahidi Kumpigia Kampeni.
 
Sasa kama wapinzani wa zuzu nation hawana nia ya kugombea bora waungane naye tu wampigie kampeni huenda nao wakapata nafasi mbili tatu na maisha yakaendelea. Siasa za zuzuland ni tofauti na za kenya
 
Hoja yako ni nini sasa kuhusu hao wapinzani wa "Zuzu nation" kama unavyowaita!

Unaungana nao mkono au unataka wampinge anayewaongoza!?

Ikiwa unawaunga mkono basi tulia wafanye unavyopendezwa nayo!
Ikiwa huwaungi mkono na unataka wampinge kiongozi unaonaje ukaanza wewe kumpinga kiongozi huyo!!

Unafki tu!!!
 
Teh teh zuzu nation

Ningependa kuijua hiyo nchi

Ova
 
"Nilipata Kura Milioni 8 na Ruto alipata Kura Milioni 5 cha Kushangaza Tume mbovu ya IEBC ikamtangaza Yeye kuwa Mshindi wa Urais nchini Kenya" amesema Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga.

Chanzo: Nipashe ya Radio One leo

Pole sana Mzee Odinga ila nikuambie tu wakati Wewe ukiwapigania Wakenya na kutafuta Haki yako Wenzako ( Wapinzani ) wa 'Zuzu Nation' wameshampitisha anayewaburuza kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 tena kuna Wengine walivyo Mazuzu wameahidi Kumpigia Kampeni.
Zuzu nation haha haa
 
Mnataka vurugu kama za Kenya? Hebu anzisheni

Wafuasi wa jiwe mnasema npo wengi sana mtaani, na upinzani sasa hivi hauna wafuasi, sasa kwa nini kwa huo wingi wenu msifanye maandamano?

Mnawategemea tena hao wapinzani ambao hawana wafuasi tena?

Mnataka demokrasia sasa hivi wakati mungu wenu alitumia nguvu nyingi kuua demokrasia na mkamshangilia?
 
Honestly huwa sipendi mafumbo Mimi, wewe Sema tu weka wazi mara Zuzu mara nini sijui ujinga mtupu.
 
"Nilipata Kura Milioni 8 na Ruto alipata Kura Milioni 5 cha Kushangaza Tume mbovu ya IEBC ikamtangaza Yeye kuwa Mshindi wa Urais nchini Kenya" amesema Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga.

Chanzo: Nipashe ya Radio One leo

Pole sana Mzee Odinga ila nikuambie tu wakati Wewe ukiwapigania Wakenya na kutafuta Haki yako Wenzako ( Wapinzani ) wa 'Zuzu Nation' wameshampitisha anayewaburuza kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 tena kuna Wengine walivyo Mazuzu wameahidi Kumpigia Kampeni.
Upizani wa tz ni kama mbwa koko, akija kwako unamtupia fupa leo, kesho na keshokutwa mpaka anazoea kuwa akija kwako unamtupia fupa siku ingine akija unqpiga nyundo ya utosi....
 
Back
Top Bottom