GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Zuzu nation haha haa"Nilipata Kura Milioni 8 na Ruto alipata Kura Milioni 5 cha Kushangaza Tume mbovu ya IEBC ikamtangaza Yeye kuwa Mshindi wa Urais nchini Kenya" amesema Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga.
Chanzo: Nipashe ya Radio One leo
Pole sana Mzee Odinga ila nikuambie tu wakati Wewe ukiwapigania Wakenya na kutafuta Haki yako Wenzako ( Wapinzani ) wa 'Zuzu Nation' wameshampitisha anayewaburuza kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 tena kuna Wengine walivyo Mazuzu wameahidi Kumpigia Kampeni.
Upizani wa tz ni kama mbwa koko, akija kwako unamtupia fupa leo, kesho na keshokutwa mpaka anazoea kuwa akija kwako unamtupia fupa siku ingine akija unqpiga nyundo ya utosi...."Nilipata Kura Milioni 8 na Ruto alipata Kura Milioni 5 cha Kushangaza Tume mbovu ya IEBC ikamtangaza Yeye kuwa Mshindi wa Urais nchini Kenya" amesema Kiongozi wa Upinzani nchini Kenya Raila Odinga.
Chanzo: Nipashe ya Radio One leo
Pole sana Mzee Odinga ila nikuambie tu wakati Wewe ukiwapigania Wakenya na kutafuta Haki yako Wenzako ( Wapinzani ) wa 'Zuzu Nation' wameshampitisha anayewaburuza kwa Uchaguzi Mkuu ujao wa 2025 tena kuna Wengine walivyo Mazuzu wameahidi Kumpigia Kampeni.
Aliyekuambia hivyo yuko sahihi 100%nasikia wame haidiwa kurejeshewa majimbo yao.