Wakati washambuliaji walipoteka Eneo takatifu la Waislamu

Wakati washambuliaji walipoteka Eneo takatifu la Waislamu

Hiyo anafanya Nan ? Anaeish jangwan au anaeish kweny mito , maziwa na bahari ?
Tehtehteh,ndo ushangae wa jangwani anajiswafi kwa maji yule ambaye kila siku mvua yanyesha anachamba kwa majani ya miti,alipoendelea kiteknolojia akaanza kuchamba kwa tissue,na suti yake atembea tu na kinyesi makalioni kama kondoo
 
80% muslims stay outside arab world, so dont blame islam
 
Attachments

  • Screenshot_20241130-173307_1.jpg
    Screenshot_20241130-173307_1.jpg
    395.3 KB · Views: 2
Ustaarabu wa Magharibi ni Superior kwa ustaarabu wa Waarabu.
Queen elizabeth alitukuza uislam kwa kutoa haki kwa mwanamke kumiliki na kurithi mali,kitu ambacho ulaya hakikuwepo, waulize wazungu kuhusu salahud din/salahdin,wakwambie walikufa civilization ikoje mashariki ya Kati ukilinganisha na kwao,arabuni hufungi duka,huna hofu ya kukabwa na vibaka,siyo ulaya na marekani
 
Wewe bada unaongelea mambo ya kale sasa hivi Mwanamke wa Magaharibi ana Haki na kuliko Mwanamke wa Kiarabu na Kiislamu.
Mwanamke wa magharibi si mwanamke bali fisi flan,mwili wake unatumika kutangaza biashara hata zisizo husiana na mwili wake tena katika hali ya kudhalilisha,kutembea uchi kwenye ulingo wa ndondi kunahusiana nini na ndondi?..kuna mantiki gani kupita uchi mbele ya midume kwa kisingizio cha mashindano ya urembo!?..huko ni kukombolewa!?..jike la ulaya ni jambazi,umelioa lakini likikushtaki ulilibaka kitandani ndani ya chumba chenu cha kulala basi utafukuzwa,filisiwa na nyumba uliyojenga kwa tabu litapewa lilale na mwanaume mwingine
 
Acheni kunyanyasa Wanawake.
Kule kwenye maelezo yangu mengine umeamua uachane nako sababu kuna ukweli uliokufungua macho siyo!?.. anyway, kwenye uislam mwanamke ni malkia,anatakiwa kulishwa,kuvishwa,malazi,tiba na kuhifadhiwa
 
Kule kwenye maelezo yangu mengine umeamua uachane nako sababu kuna ukweli uliokufungua macho siyo!?
Mwanamke kuvaa Vazi la kuogelea na kutangaza Biashara kuna ubaya gani?!

Nchi za West sio Taliban Wanawake wana Uhuru hata akiamua anaingia kwenye Porn Industry kama ajira rasmi au hata kwenye Only Fans.
 
Kwa nini umuweke na kichupi mwanamke apite kwenye ulingo wa ndondi,unalenga nini!?..kwa nini umvalishe nguo fupi awe cheer leader kwenye mechi ya kandanda?..siyo sexual exploitation hiyo,siyo unyanyasaji huo?
 
Wewe ni kitu gani kinakukera? Wewe endelea kuwavisha Hijabu Wanawake wako, Nchi za Kimagharibi wako Bize na mambo ya Ubunifu na Ugunduzi na sasa wako kwenye AI wewe endelea kuficha nywele za Wanawake wako na kama una Nyege sana oa hata Hamsini.

Na kama Vichupi vinakukera acha kuangalia Masumbwi angalia Kaswida.
 
Tunaongelea udhalilishaji wa wanawake
 
Tunaongelea udhalilishaji wa wanawake
Kuvaa Bikini kwa Mwanamke wapi umekuwa ni udhalilishaji?!

👇huu ndio udhalilishaji Mtu hata kuhema hahemi vizuri kwasababu ati Wanaume watamtamani😁
7b70907c8631b55efba07f6af71e38cc.jpg
 
Back
Top Bottom