Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akaharibu na kuiba................ (mwendelezo tafadhali)Shetani akaingia
Kwani mwivi haji ila kuiba na kuharibuAkaharibu na kuiba................ (mwendelezo tafadhali)
Sasa hivi wana graduate wakiwa uchi.
Na kutokomea kusikojulikana ....Kwani mwivi haji ila kuiba na kuharibu
Haya matunda Mungu alitupa tuyale yalivyo sisi kwa ujuaji wetu takaanza kutengeneza mvinyo loohShetani alileta na pombe ya mvinyo
Mungu aturehemu sana kwakweliTunafanya mambo mengi kinyumecha mpango wa Mungu
baada ya shetani kuwa Fundi cherehani
Halafu ndio anakuja kuwa Bosi mkubwa Kwenye taasisi nyeti za serikali.