Licha ya maagizo, lazima kuna aliyeachiwa nchi!Akija atafanya nini? Ameshatoa maagizo
Si kuna ile kitengo cha maafa chini ya ofisi ya waziri mkuu.Ulidhani kuna mtu alijua mafuriko yangekuja?
Na wewe acha masihara. Yaani unataka tutafute uzi wa Lucas yule chawa wa kupindukia???Acha lawama
Ebu utafute uzi wa lucas ashafafanua kuhusu rais kukatisha ziara yake na kurudi bongo
Kipo, na namna ya kushughulikia imewekwa wazi, kasome katiba ili uone kama ni rahisi au ngumu kufanya jambo hilo!Hivi, hakuna kifungu kwenye katiba kinachomkosoa rais endapo atafanya makosa flani flani, ama yeye hakosei?
Nani ni mgonjwa?Kaenda kumuona mgonjwa huwezi jua au tunasubiri nusu mlingotii
Sasa huyu mwenzetu anataka nini? Hata Rais akienda hapo Hanang hakutakuwa na mabadiliko yoyote yale. This is bongo tupambane na hali zetu.Licha ya maagizo, lazima kuna aliyeachiwa nchi!
Mkuu upo serious kabisa ? Familia inateketea baba mwenye nyumba upo ugaibuni una toa maagizo ? Yan watoto zako wawili wamekufa kwa ajali ya moto we upo dubai unaagiza mazish yafanyike we utakuja tu ?Akija atafanya nini? Ameshatoa maagizo
Na kiko kaziniSi kuna ile kitengo cha maafa chini ya ofisi ya waziri mkuu.