"Wakati watu wanalia kuhusu kikokotoo nilikuwa naona kawaida, sasa nimeona ukali wake" Mtumishi aliyeambulia 10M baada ya kustaafu miaka 33 Magereza

Bora umesema, yaani wakuu wao wamepewa priverage kibao hapo kila siku anapokea miposho kibao, 10% za kumwaga na pension yake haitumii kabisa kwani atapewa kila kitu anachohitaji wakati wa kustaafu. Au mmesahahu yule aliyepewa V8 mpya kabisa
 
Mkiona Chadema wanaandamana NDO MUELEWE
Wanawaandamania watu wasiojielewa.Waamke.Time is now!Waulize wabunge wakimaliza miaka mitano ya kuparuza meza bungeni(wajinga huita kustaafu) hulipwa shilingi milioni mia ngapi?Halafu,waulize akina "Shamte" kwa miaka 33 ya utumishi serikalini hulipwa senti ngapi?Watumishi amkeni na muache uzuzu wenu.Au mmezaliwa mazuzu by nature?
 
Wanasemaga ccm oyee
 
nssf ni kama MSAADA TU.sio haki yako.ndo maana unapewa kiduchu kiduchu.sema nini haukununua shamba ukiwa kazini utakuja kununua ukiwa umestaafu?fainali uzeeni.jipangeni mkiwa kazini ili uzeeni msije kulia lia.hakuna atakayewaonea huruma.CCM OYAAAAAAA
 
Ila bongo nyoko sana yaani ufaye kazi 33 years tyen unalipwa usd 9000 ndio pension...iseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…