Tufanye kwa sasa akili zake zimechoka.Muazime za kwako.Afanye nini kujikwamua msambweni kwa 10 milioni?Sio rahisi kiasi hicho
Mkuu hiyo 70k ni mauzo kwa ujumla hiyo piki piki Una mshauri anunue atakua na faida ya 21k tu kwa wiki . Kwa sababu faida ya boda kwa siku ni elf 3 kama na mia moja hiviMkuu kwa ng'ombe gharama zitamzidia maana kuna dawa na matunzo mengine yatararua hicho kidogo alichonacho arudi mavumbini alipotoka mapema bora boda ambayo akishanunua akapata vijana wake wa mkataba yeye ni kusebu 70k kila wiki
Vyama vya wafanyakazi i utapeli havina sautiHalafu wapo chini ya TUCTA na wanawakata fedha ili wapambanie. Mapambano yapi sasa?
Huu ni zaid ya umasikini hii tuite ufukara ..Na,katika hizo 9000 bado una deni la 4500 unatakiwa ufanye clearance. Wazimu usipokushika ujue wewe ni malaika in disguise.
Wezi/majambazi wachache waliopo serikalini wanaoijinufaisha kwa mali za umma wanawachokoza wabunge wajinga kwa miswada kandamizi ili waipitishe kuwa sheria ije iwaumize wananchi/watumishi kwa faida yao.Mkiiuliza serikali inawajibu wao hawahusiki kabisa muwalaumu wabonge/wabunge wenu.Huu ni zaid ya umasikini hii tuite ufukara ..
Serikali kwenye hili inakosea sana.
Ukiwa kijana unajiona kuwa kikokotoo kina husu wazee tu😂😂😂Mara nyingi tunajiona tuko salama, tunafikiri mabadiliko, kanuni, sheria za kigandamizi zinazofanywa na watawala hazituhusu sisi hasa hawa watumishi wa uma; watu wa magereza, wanajeshi, maaskari police, watumishi wa almashauri, walimu, mahakimu n.k.
HahahaWatanzania wengi ni mpaka jambo limkute ndiyo anajua lina madhara. Sijui ni kwa nini tuko hivyo, utadhani ni nyumbu.
Si Bora hata huyo kapata m10 yake. Wengine hata Senti hatukupewa na tunaambiwa tutafute ajira as if wanajua malengo yangu.
Fainali uzeeni, ukifika 50 kama hujajipanga uwe umeajiriwa au umejiajiri ni umri wa lawamaKuandaa cha kufanya bila kuandaa namna ya kufanikisha unachoandaa ni sawa na kuota usingizini
Bodaboda ni biashara ya stress. UsithubutuHiyo milioni 10 anunue pikipiki 2 ambazo ni almost 6m awe analetewa hesabu hiyo nne ndiyo akahangaike kutafuta shamba ambalo halitazidi 1m aanze kilimo mdogomdogo ataweza kuwa na uzee mwema kidogo
Tunaongea hapa ila tunajua utekelezaji wake ukojeHiyo milioni 10 anunue pikipiki 2 ambazo ni almost 6m awe analetewa hesabu hiyo nne ndiyo akahangaike kutafuta shamba ambalo halitazidi 1m aanze kilimo mdogomdogo ataweza kuwa na uzee mwema kidogo
Commissioner General of Prisons.CGP kirefu chake nini?
Unapata kulingana na mshahara wako. Commissioner boss mkubwa huyo.Ila kapata ndogo sana kuna commissioner wa magereza namjua miaka minne nyuma alipata 200mil. Ka sikosei, Sasa huyo yake hata kama imekatwa sijui imekatwa ngapi mbona ndogo sana hiyo 20 kabla ya kukata 10 ya mkopo?
Miaka hiyo yote hakuwa hata na mil 100? Kikokotoo alikatwa mil 80? Na zinapelekwa wapi? Vip zile za kila mwezi?
Shukrani mkuuCommissioner General of Prisons.
CGI....Commissioner General of Immigration