Rajabu mapete nini?Bado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno uzanzibar Zaid,
Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana naZo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais
Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"
Waziri nae akausoma mchezo yakuwa mambo yake Yale yaliendelea ndiooo alipo mjibu yakuwa "ndo nautubia hapa"
Moderetor usiunganishe Uzi huu
Acha utoto sisi siyo watoto wenzio.Bado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno uzanzibar Zaid,
Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana naZo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais
Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"
Waziri nae akausoma mchezo yakuwa mambo yake Yale yaliendelea ndiooo alipo mjibu yakuwa "ndo nautubia hapa"
Moderetor usiunganishe Uzi huu
Wasaidizi wa rais mafalasana bora waziri alivyowachana naona wamemwekea kauzibe muda mrefu sana mapimbi haoanaleta mno uzanzibar Zaid,
Utoto gani unaouzungumzia? Wanasema watu wenye Cheo cha juu kwenye Nchi hii ni Rais akitoka Rais anakuja Katibu wa Rais sio makamu wala Waziri Mkuu wala Naibu Waziri Mkuu yaan Katibu wa Rais ana cheo kikubwaAcha utoto sisi siyo watoto wenzio.
tupo makini sanaHuyu mama tuwe naye makini atatuuza huyu
Waziri mapete huyoBado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno uzanzibar Zaid,
Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana naZo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais
Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"
Waziri nae akausoma mchezo yakuwa mambo yake Yale yaliendelea ndiooo alipo mjibu yakuwa "ndo nautubia hapa"
Moderetor usiunganishe Uzi huu
Wacha ujinga wewe ...kwa hiyo elimu ni muhimu kuliko maji ya zamzam ambayo tutaletewa na waarabu ...kwa juhudi za Raisi wetu mtukufu Mufti samia bushiriMambo ya maana wanaita porojo. Kuna kitu cha maana kuliko elimu kwa Taifa. Labda walitaka hotuba yote iwe kusifia bila kuonyesha changamoto.
ccm ni laana kwa taifaBado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno Uzanzibar Zaidi,
Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana nazo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais
Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"
Waziri nae akausoma mchezo yakuwa mambo yake Yale yaliendelea ndiooo alipo mjibu yakuwa "ndo nautubia hapa"
Inaonekana rais amezungukwa na watu wabaya na wanajiamini sana. Ndio maana wananchi waliyo wengi hawana imani na uongozi wake aliyorithi kwa marehemu Magufuli. Tatizo anatumia udikteka kupora nafasi ya kugombea urais. Bila shaka hao waliyomzunguka ndio wanachezesha game yote.Bado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno Uzanzibar Zaidi,
Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana nazo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais
Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"
Waziri nae akausoma mchezo yakuwa mambo yake Yale yaliendelea ndiooo alipo mjibu yakuwa "ndo nautubia hapa"
Wajifunze kufupisha Mambo,hotuba ndefu kama nyimbo za misri!Mambo ya maana wanaita porojo. Kuna kitu cha maana kuliko elimu kwa Taifa. Labda walitaka hotuba yote iwe kusifia bila kuonyesha changamoto.
Pete,mikufu,bangili..kwa hao wakubwa ni hiriziWaziri mapete huyo