Wakati Waziri wa elimu anasema alinyimwa kumwona Rais Kuna mtu alimpelekea kimemo Kinasema 'acha porojo toa hotuba",akajibu ndio nahutubia

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Bado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno Uzanzibar Zaidi,

Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana nazo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais

Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"

Waziri nae akausoma mchezo yakuwa mambo yake Yale yaliendelea ndiooo alipo mjibu yakuwa "ndo nautubia hapa"
 
Bado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno uzanzibar Zaid,

Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana naZo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais

Moderetor usiunganishe Uzi huu
Rajabu mapete nini?
 
Acha utoto sisi siyo watoto wenzio.
 
Waziri mapete huyo
 
Bado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno Uzanzibar Zaidi,

Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana nazo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais

Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"

Waziri nae akausoma mchezo yakuwa mambo yake Yale yaliendelea ndiooo alipo mjibu yakuwa "ndo nautubia hapa"
ccm ni laana kwa taifa
 
Inaonekana rais amezungukwa na watu wabaya na wanajiamini sana. Ndio maana wananchi waliyo wengi hawana imani na uongozi wake aliyorithi kwa marehemu Magufuli. Tatizo anatumia udikteka kupora nafasi ya kugombea urais. Bila shaka hao waliyomzunguka ndio wanachezesha game yote.
 
Back
Top Bottom