MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Kwani katibu wa Rais SI ni secretary wa ofisi ya Rais Kwa lugha nyepesi Sasa secretary wa ofisi ya Rais atakuaje mkubwa kuliko makamu wa Rais?Fafanua zaidii.
yote hayo mwisho mwaka huuMpo nae makini wakati waziri kuonana nae mtiti inaonekana Kuna maamuzi mengi hafanyi yeye wanafanya machawa tupo kwenye mgogoro wa nchi za maziwa makuu ititokea siku tumevamiwa na waasi au nchi jirani harafu machawa wanamzuia Rais kuonana na mkuu wa majeshi na waziri wa ulinzi na JKT SI watakufa wote mipakani?
Hakika.. SSH amekabidhiwa kwa majini na masheikh..wakiongozwa na sheikh mkuuHaponi huyo ukizingatia ni mchaga na mgalatia.
Hapo sasa nimekuelewaaa.Kwani katibu wa Rais SI ni secretary wa ofisi ya Rais Kwa lugha nyepesi Sasa secretary wa ofisi ya Rais atakuaje mkubwa kuliko makamu wa Rais?
Ukiingia ofisi yoyote ukakuta secretary ana sauti kubwa kuliko naibu na HR na maofisa wengi kama ni jinsia tofauti basi kunamahusiano kimapenzi kama jinsia moja basi kunaushirikina mkubwa sana japo kunauwezekano ya uwepo wa mapenzi ya jinsia mojaHapo sasa nimekuelewaaa.
Ndo kawaida yao. Uchawa, Kusifu, kutukuza na kuabudu si porojoMambo ya maana wanaita porojo. Kuna kitu cha maana kuliko elimu kwa Taifa. Labda walitaka hotuba yote iwe kusifia bila kuonyesha changamoto.
Si alikuwa ametingwa na ratiba nyingi mkuu?Ila malipo hapa hapa duniani mimi nakumbuka niliteseka sana kumpata waziri wa Elimu ofisini kwake hahaahaaaa
Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"πππBado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno Uzanzibar Zaidi,
Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana nazo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais
Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"
Waziri nae akausoma mchezo yakuwa mambo yake Yale yaliendelea ndiooo alipo mjibu yakuwa "ndo nautubia hapa"
Uzuri Mmoja huyu Prof si mwanasiasa na ni mtu asiyekuwa na tamaa za vyeo. Hicho cheo alikipata kwa bidii yake ya kazi. Kumbuka hata mgogoro wake na Dr. Kigwangala kipindi kile akiwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Maliasili huku Kigwangala akiwa Waziri husika. Nchi yetu inajitaji watu Sampuli ya akina Prof Mkenda maana wanaonyesha weledi mahali popote bila kuogopa. Yani kama ipo ni ipo tuu, tunahitaji mabadiliko ya kifikra aisee. Mimi namkubali sanaa Prof yupo makini na kazi yake na ni muwazi. Bora hata amepasulia jipu mbele ya Muhusika. Na hii pia ni message kwao kwamba kama wataona hafai wamuache mapema kabisaa wasimsumbue kwenye siasa za ubunge...Prof.Mkenda atabadilishwa hivi karibuni.
Natamani asiteuliwe tena, arudi kufundisha vijana wetu kipindi anajiandaa kuungana na Lissu...Prof.Mkenda atabadilishwa hivi karibuni.
Akihamia Chadema, atapeta.Uzuri Mmoja huyu Prof si mwanasiasa na ni mtu asiyekuwa na tamaa za vyeo. Hicho cheo alikipata kwa bidii yake ya kazi. Kumbuka hata mgogoro wake na Dr. Kigwangala kipindi kile akiwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Maliasili huku Kigwangala akiwa Waziri husika. Nchi yetu inajitaji watu Sampuli ya akina Prof Mkenda maana wanaonyesha weledi mahali popote bila kuogopa. Yani kama ipo ni ipo tuu, tunahitaji mabadiliko ya kifikra aisee. Mimi namkubali sanaa Prof yupo makini na kazi yake na ni muwazi. Bora hata amepasulia jipu mbele ya Muhusika. Na hii pia ni message kwao kwamba kama wataona hafai wamuache mapema kabisaa wasimsumbue kwenye siasa za ubunge.
Huyu kwa haiba yake si Mwanasiasa ni mtendaji yaani ni watubwanaotaka kazi ifanyike si blaablaa.. huyu ndiyo maana aliendana sana Dr. Magufuli, kwasababu ni mtu kazi kazi si maneno mengi.Akihamia Chadema, atapeta.
Namfahau vizuri tangia akiwa kiranjq Mkuu Pugu High School enzi hizo. Amenyooka kama rula.Huyu kwa haiba yake si Mwanasiasa ni mtendaji yaani ni watubwanaotaka kazi ifanyike si blaablaa.. huyu ndiyo maana aliendana sana Dr. Magufuli, kwasababu ni mtu kazi kazi si maneno mengi.
Kwenda Chadema sidhani lakini naona dalili za yeye kutotaka kuendelea na ubunge baada ya 2025.