Wakati Waziri wa elimu anasema alinyimwa kumwona Rais Kuna mtu alimpelekea kimemo Kinasema 'acha porojo toa hotuba",akajibu ndio nahutubia

Wakati Waziri wa elimu anasema alinyimwa kumwona Rais Kuna mtu alimpelekea kimemo Kinasema 'acha porojo toa hotuba",akajibu ndio nahutubia

Ila brother wewe ni liongo liongo Sana Mara ulijificha kwa house girl ukapona kufa ulipokuwa mlinzi wa KK
Tutakuchoka sasa
 
Mpo nae makini wakati waziri kuonana nae mtiti inaonekana Kuna maamuzi mengi hafanyi yeye wanafanya machawa tupo kwenye mgogoro wa nchi za maziwa makuu ititokea siku tumevamiwa na waasi au nchi jirani harafu machawa wanamzuia Rais kuonana na mkuu wa majeshi na waziri wa ulinzi na JKT SI watakufa wote mipakani?
yote hayo mwisho mwaka huu
 
Lipo wazi hakuna coordination serikali.

Unawezaje kutoa mtaala mpya bila ya maamuzi ya pamoja.

Surely kuna wizara zina part kuhakikisha lengo linafikiwa; mfano labda walimu wanahitaji extra training kwenye kufundisha (hilo si lipo TAMISEMI).

Kuwapa training walimu TAMISEMI itahitaji fedha, wizara ya fedha itahusika.

Kitendo cha waziri kusema hakupata muda wa kuongea na raisi juu ya maamuzi ya kitaifa ina maana hilo swala alikuwahi hata kujadiliwa kwenye baraza la mawaziri.

Unabaki na maswali zaidi hata huo mtaala wenyewe umependekezwa na nani, based on what needs.

Mambo haya yanawezekana kwenye banana republic tu.

Only in Tanzania
 
Rais Samia kiuhalisia havutiwi na watendaji smart, wachapakazi na wanaojiamini kama Prof Mkenda..

Anapenda siasa za kimazoea kwa hofu ya kufunikwa au kuwa outshined na ndio sababu aliwahamisha Jerry slaa na makonda walioonekana wazi wamezimudu wizara zao.

Kwa mwelekeo huu, I can bet; huyu waziri ataondolewa hapo very soon...karirini ubashiri huu.

Samia hapendi siasa za aina hii.
Na ndio sababu huwasikii tena akina Lukuvi, Kabudi au Majaliwa...wameamua kukubaliana na matakwa yake.

Mabadiliko yeyote yajayo yatamuhamisha huyu Waziri Mkenda...
Yataanza na yeye.

Inawezekana Samia hutafsiri courage hii ni kujipatia umaarufu binafsi.
 
Hapo sasa nimekuelewaaa.
Ukiingia ofisi yoyote ukakuta secretary ana sauti kubwa kuliko naibu na HR na maofisa wengi kama ni jinsia tofauti basi kunamahusiano kimapenzi kama jinsia moja basi kunaushirikina mkubwa sana japo kunauwezekano ya uwepo wa mapenzi ya jinsia moja
 
Bado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno Uzanzibar Zaidi,

Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana nazo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais

Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"

Waziri nae akausoma mchezo yakuwa mambo yake Yale yaliendelea ndiooo alipo mjibu yakuwa "ndo nautubia hapa"
Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"😂😂😂
 
..Prof.Mkenda atabadilishwa hivi karibuni.
Uzuri Mmoja huyu Prof si mwanasiasa na ni mtu asiyekuwa na tamaa za vyeo. Hicho cheo alikipata kwa bidii yake ya kazi. Kumbuka hata mgogoro wake na Dr. Kigwangala kipindi kile akiwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Utalii na Maliasili huku Kigwangala akiwa Waziri husika. Nchi yetu inajitaji watu Sampuli ya akina Prof Mkenda maana wanaonyesha weledi mahali popote bila kuogopa. Yani kama ipo ni ipo tuu, tunahitaji mabadiliko ya kifikra aisee. Mimi namkubali sanaa Prof yupo makini na kazi yake na ni muwazi. Bora hata amepasulia jipu mbele ya Muhusika. Na hii pia ni message kwao kwamba kama wataona hafai wamuache mapema kabisaa wasimsumbue kwenye siasa za ubunge.
 
Akihamia Chadema, atapeta.
 
Akihamia Chadema, atapeta.
Huyu kwa haiba yake si Mwanasiasa ni mtendaji yaani ni watubwanaotaka kazi ifanyike si blaablaa.. huyu ndiyo maana aliendana sana Dr. Magufuli, kwasababu ni mtu kazi kazi si maneno mengi.
Kwenda Chadema sidhani lakini naona dalili za yeye kutotaka kuendelea na ubunge baada ya 2025.
 
Namfahau vizuri tangia akiwa kiranjq Mkuu Pugu High School enzi hizo. Amenyooka kama rula.
 
Back
Top Bottom