Wakati Waziri wa elimu anasema alinyimwa kumwona Rais Kuna mtu alimpelekea kimemo Kinasema 'acha porojo toa hotuba",akajibu ndio nahutubia

Ila malipo hapa hapa duniani mimi nakumbuka niliteseka sana kumpata waziri wa Elimu ofisini kwake hahaahaaaa
Ukivyokuwa unalaani na kusonya kumbe nayeye anapita mulemule 🀣🀣
 
Huyu mzee ni jeuri balaa! Naona hana cha kupoteza kabisa, ameishawakasirikia wasaidizi wa rais. Kwa aina ya mifumo ya maisha ya Tanzania, watamkasirikia kweli kweli
 
Huyu mzee ni jeuri balaa! Naona hana cha kupoteza kabisa, ameishawakasirikia wasaidizi wa rais. Kwa aina ya mifumo ya maisha ya Tanzania, watamkasirikia kweli kweli

..mimi nimesikiliza hotuba naona mtoa mada ametoa tafsiri ambayo sio.

..na kwa tanzania ilivyo sasa hivi ni kwamba uongo ukitangulia kusemwa basi unachukuliwa ndio ukweli.
 
Mama hana shida ila WANAO MZUNGUKA SASA wengi,, waongo,wanafiki,wachawi,hawampendi, HAKA KA UCHAWA kana haribu taswira nzuri ya mama acha nisikilizie MI 5 TENAAAA
 
Mama hana shida ila WANAO MZUNGUKA SASA wengi,, waongo,wanafiki,wachawi,hawampendi, HAKA KA UCHAWA kana haribu taswira nzuri ya mama acha nisikilizie MI 5 TENAAAA

..Mama ana uwezo mdogo sana wa kiuongozi.

..Raisi mweledi, msomi aliyebobea, huwainua wasaidizi wake.

..Mwalimu Nyerere kutokana na umahiri wake aliwainua na kuwapaisha wasaidizi wake kama Salim Ahmed Salim, Ben Mkapa,..wakaonekana wanafaa.
 
Wabongo hawapendi kua Accountable to their actions or Words.

Huyo Secretary nae alikua sahihi kwa upande wake, Nae Mkenda alikua sahihi kwa upande wake kwani ali amini hilo jambo ni too important kusubiri normal protoccol.

Sasa ni kwann wao wahisi Mkenda kuongea hadharani ni kama anawachongea
 
Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii imenichekesha sana.

Nae akaona msinichoshe, akawapasha, Ndo hotuba yenyewe hii sina hotuba nyingine.

lkn yote kwa yote, Hakuna alie kosea btn the 3 yaani Rais, Msaidizi wa Rais pamoja na waziri kila mmoja alikua anafanya kazi yeke.

Shida hapa bongo, tunataka sana unafki unafki, Yaani kama mtu hajapendezwa na kitu asikiseme akae nacho rohoni kwa faida ya nani?
 
Kabisaa . πŸ’―πŸ’―
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…