Wakati Waziri wa elimu anasema alinyimwa kumwona Rais Kuna mtu alimpelekea kimemo Kinasema 'acha porojo toa hotuba",akajibu ndio nahutubia

Wakati Waziri wa elimu anasema alinyimwa kumwona Rais Kuna mtu alimpelekea kimemo Kinasema 'acha porojo toa hotuba",akajibu ndio nahutubia

..nakiri kwamba mtoa mada ametupa tafsiri ambayo siyo kuhusu nini kilichosemwa na Prof.Mkenda.

..Na kwa bahati mbaya na sisi tukaanza kuchangia bila kwanza kujiridhisha.

..kwa upande wangu hayo ni mapungufu, kwa hiyo nakiri KUKOSEA.

..video ya hotuba ya Prof.Mkenda ni hii hapa chini.


View: https://www.youtube.com/watch?v=SkdtFJtV_TU

Huyu mzee ni jeuri balaa! Naona hana cha kupoteza kabisa, ameishawakasirikia wasaidizi wa rais. Kwa aina ya mifumo ya maisha ya Tanzania, watamkasirikia kweli kweli
 
Huyu mzee ni jeuri balaa! Naona hana cha kupoteza kabisa, ameishawakasirikia wasaidizi wa rais. Kwa aina ya mifumo ya maisha ya Tanzania, watamkasirikia kweli kweli

..mimi nimesikiliza hotuba naona mtoa mada ametoa tafsiri ambayo sio.

..na kwa tanzania ilivyo sasa hivi ni kwamba uongo ukitangulia kusemwa basi unachukuliwa ndio ukweli.
 
Mama hana shida ila WANAO MZUNGUKA SASA wengi,, waongo,wanafiki,wachawi,hawampendi, HAKA KA UCHAWA kana haribu taswira nzuri ya mama acha nisikilizie MI 5 TENAAAA
 
Mama hana shida ila WANAO MZUNGUKA SASA wengi,, waongo,wanafiki,wachawi,hawampendi, HAKA KA UCHAWA kana haribu taswira nzuri ya mama acha nisikilizie MI 5 TENAAAA

..Mama ana uwezo mdogo sana wa kiuongozi.

..Raisi mweledi, msomi aliyebobea, huwainua wasaidizi wake.

..Mwalimu Nyerere kutokana na umahiri wake aliwainua na kuwapaisha wasaidizi wake kama Salim Ahmed Salim, Ben Mkapa,..wakaonekana wanafaa.
 
Mi namshangaa sana yule Mpemba wa kimemo.

Kwa saab ni kazi yake kuratibu na kudhibiti trafiki inayoingia Ikulu kuonana na Rais. Huyu Msaidizi ana maindi nini hilo likisemwakwamba walifanya kazi yao ? Na Waziri alisema kuna proper protocols za kuonana na Rais, wala hakuwachana.

Na hata kama alitoa masaa mawili, hiyo pia kwa upande mwingine ni sifa kwa bosi kwamba yuko bize sana mambo ya nchi. Masaa mawili na Rais sio machache.

Sasa kwa nini anajaribu kufunika Waziri Mkenda akisimulia viji stori na viji taratibu vidogo vidogo vya kuingia Ikulu??

Pale anajiona kafanya kazi nzuri ya ki-TISS, kudhibiti taarifa za inner workings za Ikulu scheduling.

Masiri ya Ikulu meeengi. Mbona Trump kasaini mikaratasi mizito mizito mbele ya waandishi ofisi kuu na pekee ya White House ???? Bongo tushaliona desk la Rais ? Zaidi ya lile la kusaini Muungano, sijui wapi pale labda kwenye jahazi katikati baharini huko. Who knows?
Wabongo hawapendi kua Accountable to their actions or Words.

Huyo Secretary nae alikua sahihi kwa upande wake, Nae Mkenda alikua sahihi kwa upande wake kwani ali amini hilo jambo ni too important kusubiri normal protoccol.

Sasa ni kwann wao wahisi Mkenda kuongea hadharani ni kama anawachongea
 
Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"😂😂😂
Hii imenichekesha sana.

Nae akaona msinichoshe, akawapasha, Ndo hotuba yenyewe hii sina hotuba nyingine.

lkn yote kwa yote, Hakuna alie kosea btn the 3 yaani Rais, Msaidizi wa Rais pamoja na waziri kila mmoja alikua anafanya kazi yeke.

Shida hapa bongo, tunataka sana unafki unafki, Yaani kama mtu hajapendezwa na kitu asikiseme akae nacho rohoni kwa faida ya nani?
 
Rais Samia kiuhalisia havutiwi na watendaji smart, wachapakazi na wanaojiamini kama Prof Mkenda..

Anapenda siasa za kimazoea kwa hofu ya kufunikwa au kuwa outshined na ndio sababu aliwahamisha Jerry slaa na makonda walioonekana wazi wamezimudu wizara zao.
Kabisaa . 💯💯
 
Back
Top Bottom