Wakati Waziri wa elimu anasema alinyimwa kumwona Rais Kuna mtu alimpelekea kimemo Kinasema 'acha porojo toa hotuba",akajibu ndio nahutubia

Wakati Waziri wa elimu anasema alinyimwa kumwona Rais Kuna mtu alimpelekea kimemo Kinasema 'acha porojo toa hotuba",akajibu ndio nahutubia

Hivi ni kweli Waziri alilalamika kwenye —public kwamba alipata tabu ya kumuona Rais? Weka clip hapa tusikie.
Ndio, na walipokubaliwa wakapewa masaa mawili lkn rais alipokuja akapata hizo taarifa akawapa siku nzima.Waziri alikuwa anatoa pongezi kwa rais, nenda tiktok hotuba ipo.
 
tupo makini sana
Mpo nae makini wakati waziri kuonana nae mtiti inaonekana Kuna maamuzi mengi hafanyi yeye wanafanya machawa tupo kwenye mgogoro wa nchi za maziwa makuu ititokea siku tumevamiwa na waasi au nchi jirani harafu machawa wanamzuia Rais kuonana na mkuu wa majeshi na waziri wa ulinzi na JKT SI watakufa wote mipakani?
 
Utoto gani unaouzungumzia? Wanasema watu wenye Cheo cha juu kwenye Nchi hii ni Rais akitoka Rais anakuja Katibu wa Rais sio makamu wala Waziri Mkuu wala Naibu Waziri Mkuu yaan Katibu wa Rais ana cheo kikubwa
Yaani secretary wa mkurugenzi awe na cheo kikubwa kuliko HR na naibu mkurugenzi iyo inawezekana tu kama watu hao wanamahusiano ya kingono
 
Utoto gani unaouzungumzia? Wanasema watu wenye Cheo cha juu kwenye Nchi hii ni Rais akitoka Rais anakuja Katibu wa Rais sio makamu wala Waziri Mkuu wala Naibu Waziri Mkuu yaan Katibu wa Rais ana cheo kikubwa
Katibu Mkuu alikuwa Mzee Luhanjo
 
mkenda sio wa kumuamini sana alimchongea sana Kigwangala na hata alipokuwa zara ya kilimo ana tabia snaa ya kuwachongea watu
 
Hii nchi ni kichwa cha mwendawazimu
Bado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno Uzanzibar Zaidi,

Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana nazo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais

Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"

Waziri nae akausoma mchezo yakuwa mambo yake Yale yaliendelea ndiooo alipo mjibu yakuwa "ndo nautubia hapa"
 
Hivi ni kweli Waziri alilalamika kwenye —public kwamba alipata tabu ya kumuona Rais? Weka clip hapa tusikie.
mijitu ya ovyo kama wewe unafanya Nini jf Sasa kafie mbele uko
 
Yaani secretary wa mkurugenzi awe na cheo kikubwa kuliko HR na naibu mkurugenzi iyo inawezekana tu kama watu hao wanamahisiano ya kingono
Kwahiyo hapo unahisi kuna uhusiano wa kingono kama yasemwayo ni ya kweli?
 
Watumishi wa serikali ni watu wakuwaombea sana maana hata akitoka kujisaidia anatakiwa kusema "asante mama mitano tena* kmanin walahi
 
Bado nasisitiza Ikulu Kuna changamoto Hasa huyu msaidizi wa Rais analeta mno Uzanzibar Zaidi,

Uwezi amini wakati Mh proffesa Mkenda, anahutubia alipofika hatua ya kusema changamoto walizokutana nazo alipo tamka yakuwa alimtafta Muda MREFU paspo MAFANIKIO na alipofanikiwa alipewa mida wa masaa mawili TU ghafla alitokea mtu pembeni ambae nae ni msaidizi wa msaidizi wa Rais

Akampelekea KIMEMO kilichokuwa kimeandikwa "hacha porojo toa hutuba"

Waziri nae akausoma mchezo yakuwa mambo yake Yale yaliendelea ndiooo alipo mjibu yakuwa "ndo nautubia hapa"
Ebu tupeni mifano ya nchi ambako Waziri anaweza kuonana na Rais midda wowote anaotaka.
 
Mi namshangaa sana yule Mpemba wa kimemo.

Kwa saab ni kazi yake kuratibu na kudhibiti trafiki inayoingia Ikulu kuonana na Rais. Huyu Msaidizi ana maindi nini hilo likisemwakwamba walifanya kazi yao ? Na Waziri alisema kuna proper protocols za kuonana na Rais, wala hakuwachana.

Na hata kama alitoa masaa mawili, hiyo pia kwa upande mwingine ni sifa kwa bosi kwamba yuko bize sana mambo ya nchi. Masaa mawili na Rais sio machache.

Sasa kwa nini anajaribu kufunika Waziri Mkenda akisimulia viji stori na viji taratibu vidogo vidogo vya kuingia Ikulu??

Pale anajiona kafanya kazi nzuri ya ki-TISS, kudhibiti taarifa za inner workings za Ikulu scheduling.

Masiri ya Ikulu meeengi. Mbona Trump kasaini mikaratasi mizito mizito mbele ya waandishi ofisi kuu na pekee ya White House ???? Bongo tushaliona desk la Rais ? Zaidi ya lile la kusaini Muungano, sijui wapi pale labda kwenye jahazi katikati baharini huko. Who knows?
 
Back
Top Bottom