Wakati wengine wanalala.. Rwanda waliamka na kuanza kazi

Mtafika naamini pia..........
galeria-tuktuk-10.jpeg
 
Tz uwezi kulinganisha na Rwanda kabisa hata wanunue Airbus A380 kumi , bajeti ya jiji la Arusha tuu ni sawa na bajeti nzima ya Nchi ya Rwanda kwa Mwaka .Rwanda ni Kigali tuu lakini toka nenda nje ya Kigali ndio utajua zaidi hiyo Nchi hipo vipi
Hapa minaona ni bajeti ya panya umpe simba kweli!!!
 
sihitaji ujinga wenu uo...kiswahili ndio nini sasa wee???😛😛😛😀😀 wakenya twaongea lugha za maana bana wacha upumbavu wewe.... wee wajua kiingereza??? ama broken english tu ndo wajua
Siishi Kenya wala sitaweza kuishi Kenya. Broken English you are right! Nilijifunza English shuleni siongei English ya Kibera. Najivunia lugha yangu Mimi ni mwafrica sio mzungu sijui ninyi na upumbavu wenu mnafikiri kuongea broken English yenu ni ufahari. Kiswahili kimetuunganisha Watanzania ninyi na English yenu ukabila chuki imetawala.
 
si ivi mnavyozumgumza.... broken english...you tell me
Diamond-Platnumz-English.png
 
If you have understood the meaning, why are you showing us your ignorance... '' miss know everything right ''
No one knows everything! I do not know everything but I am not ignorant. You are ignorant if not a fool!
 
Siishi Kenya wala sitaweza kuishi Kenya. Broken English you are right! Nilijifunza English shuleni siongei English ya Kibera. Najivunia lugha yangu Mimi ni mwafrica sio mzungu sijui ninyi na upumbavu wenu mnafikiri kuongea broken English yenu ni ufahari. Kiswahili kimetuunganisha Watanzania ninyi na English yenu ukabila chuki imetawala.

Hahahaa.... Welcome to social media where you don't get carried away by emotions... utaumwa na kichwa na utaanza kuhara bure.....
 
No one knows everything! I do not know everything but I am not ignorant. You are ignorant if not a fool!
ignorant u say huh??..says the person throwing insults....and how do u know that? from JF please u cannot judge someone from forums where people hide behind anonymity and throw blows at each other....
 
Tz uwezi kulinganisha na Rwanda kabisa hata wanunue Airbus A380 kumi , bajeti ya jiji la Arusha tuu ni sawa na bajeti nzima ya Nchi ya Rwanda kwa Mwaka .Rwanda ni Kigali tuu lakini toka nenda nje ya Kigali ndio utajua zaidi hiyo Nchi hipo vipi

Tembea uone mengi wajinga wa Nadhani Tanzania ni shughuli mdogo
 
Back
Top Bottom