Wakati wengine wanalala.. Rwanda waliamka na kuanza kazi

Wakati wengine wanalala.. Rwanda waliamka na kuanza kazi

Ndio maana walipofunga mipaka chakula kisiende nje walianza kutapatapa. Na tunakoelekea bei tutakuwa tunapanga sisi.

Kwa kuongezea soko la vitoewo kutoka nje limezuiwa. Viwanda vya nyama kenya pigo tayari
Hawa mbona wakwetu sana, nchi haikui kiuchumi kwa sera tu za uwekezaji tena wa manufacturing industries za kigeni ambazo kwako wamefuata cheap labour tu, embu jifikirie Kenya itawauzia nn Volkswagen ktk kuasembo kwa hayo magari, chuma au plastics au mbao? Russia ipo ilivyo kutokana na resources zake na si vinginevyo. Hawa ama hawawezi ku foresee au vilaza sana au tunaoongea nao humu ni under 25 wengi.
 
Nyie msifanye mtukufu kesho aamke aseme kaagiza bombardier zingine kumi ili amfunike kagame, wenyewe si mnamjua mkuu hajaribiwi!
Bora afanye hivyo.....
When others are spending money on this
d4e9502ff93c873798cae747eea2607c.jpg
4fdaa4e2db568f2d703be85137f78333.jpg
c7f2c6434933ee6c5e47af8d4057f816.jpg
d1f03b2b9e7f7c6c7c87ce82906f9680.jpg
 
si wenu uyu apa😛😛😛😛😛😀😀😀😀...ata bado sijaweka rais akizungumza broken english
Mbona nyie wenyewe mnazungumza kiswahili kibaya hadi unaweza kutapika. mbuguma wewe[emoji11] [emoji9]
 
Nyinyi bado mnalala.. No one will wake you up
Ndege pamoja na shirika la ndege la kenya sio mali ya wakenya the government ownt a vr little share while the CAKE goes to the so called INVESTORS from netherlands
 
Pwahahahaa... Midanganyika kweli wako stressed...... Johana amew
atenda.
.. Nasikia hamjasafiri kwenda bara.... mtakula tu bata manzense[/QUOTE

Yohana mbatizaji amewabatiza kwa moto.😀😀
 
Ndege pamoja na shirika la ndege la kenya sio mali ya wakenya the government ownt a vr little share while the CAKE goes to the so called INVESTORS from netherlands

Ila tu unajifariji!..hahaaaa!
 
Sasa hawa zuzu wa kutoka kwa pombe mbona wanapenda kujilinganisha na Kenya kila kitu??
 
tushaorder boeing787,,,cs300..new vision in africa haya leta habari nyingine
 
Kwani nyinyi wakenya ni Mungu? Mnatofauti gani na binadamu wengine?
Did I say we are God?. you're not the kind of people that we should compete with. Kenya's dreams are big therefore we work hard to achieve them hence competing with the countries ahead of us not those behind us .get that right Mr Mwanzi 1
 
Kwanza lipa what Kenya owe its doctors, pili find the Eurobond money and make sure whoever benefitted brought to justice, tatu at least have a fare elections. Nne, make sure every Kenya has a right to land not only the few who hold the rest of Kenyans hostage. Naweza kuendela lakini for now maliza hayo halafu uje tuongee mambo ya compatition. The list is not long, it can be done, ....trust me.
 
Back
Top Bottom